Rasi Jakaya Kikwete akiwa na mchezaji mpira wa miguu David Beckham huko London hivi karibuni huku mkewe akishangaashangaa, Wapi mke wa Beckham?Ingawa tunaonekana kutomtendea haki, angekuwa...
Picha hii ya Mkapa Rais wa zamani Tanzania awamu iliyopita anaonekana kupungua sana hasa kitambi. Sasa anaonekana mwenye siha zaidi na pengine mwenye nguvu zaidi asiyehitaji fimbo ya kujitegemeza...
Anaitwa Zembwela(pichani kushoto) mchekeshaji maarufu kabla ya kuingia kwenye utangazaji wa redio na sasa ameingia kwenye fani ya kutunisha misuli kama inavyoonekana pichani.
Jamani acheni kulalamika na foleni maana inaelekea sio tatizo la jamii moja bali kwa jamii nyingine ambazo zinafuata taratibu walizojiwekea kuishi wanaziheshimu. Oneni na hapa.... sasa sijui...
Mstaafu Mkapa akichukua nafasi ya kipekee mahakamani kwenda kutetea ufisadi ndani ya serikali yake pale Kisutu mahakamani ambako swahiba wake Profesa Mahalu alimtegemea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.