Bado sijajua ni sababu ipi iliyotoa dhamana kwa polisi kutoa kipigo cha mwizi kwa msanii huyu ila picha inasikitisha. Polisi ni chombo cha usalama kweli??????? Pole yake..
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Mh Zitto Kabwe ameitaka Serikali kufufua viwanda na kujenga vingine ili kuendana na Ongezeko la watu nchini. Zitto amesema viongozi hawapiganii kufufua Viwanda kwa...
Hapa yupo na Mzungu....... kisa mzungu hakutaka kukanyaga kanga wala mkeka........
Hapa Akiwa na Wamatumbwi....atadai mkeka...kanga...nk eti asichafuke....usanii mtupu!!
Pick-Up hii aina ya Toyota leo mchana imenaswa na askari wa usalama barabara maeneo ya Posta ya zamani jijini Dar es Salaam ikifanya shughuli za kuwapeleka na kuwarudisha majumbani wanafunzi wa...
Huyu kijana, kama atawasahau watu wake wa Arumeru Mashariki basi ajiandae kwa laana mbaya sana. Hizi baraka alizopewa za kutoka Moyoni haswa na akizitumia vibaya, zitamuharibu na kumpeleka pabaya...
WABUNGE WA CCM WACHAGUA WAGOMBEA UBUNGE WA AFRIKA MASHARIKI LEO
Mwenyekiti wa wabunge wa CCM, Waziri Mkuu Mizengo Pinda (watatu kushoto) akiendesha kikao cha wabunge cha kura za maoni za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.