Habari zenu wana jf,sina budi kumshukuru mungu kwa kunifikisha siku ya leo...tarehe 7/2. Ni siku ambayo mama yangu mpendwa alinileta duniani,ahsante sana mama najua ni shida nyingi alivumilia mama...
amini usiamini ewe ndugu, kijana, mama, kaka, mjomba, shangazi, dada CCM inapendwa na kada zote za kijamii, hayo yamedhihirika leo mwanza ambapo watu takribani 100,000 walikuwa uwanjani kirumba...
hapa daktari amesha discharge zaidi ya nusu ya wodi na bado pana congestion.mnaosupport serikali unajisikiajemkeo,dada yako au rafiki yako akikaa kwenye mazingira haya?
Ukiwa wewe ni Muumin wa kweli, unaombwa uchangie Masjid Goba ijengwe. Kwa sasa Hali ya Masjid yetu iko katika hali hii...
Nimefika hapa leo na mimeonana na Imam wa msikiti huu...Tumeongea mengi...
Abelina Kitochi Mgonjwa aliyekuwa amelazwa katika wodi ya Sewahaji katika Hospitali ya Taifa Muhimbili iliyopo jijini Dar es Salaam jana akilia nje ya wodi hiyo baada ya kukosa huduma kwa siku...
Hapa si Uwanja wa Taifa, hivyo ieleweke kuwa hawa si mashabiki katika mechi kati ya brazil na Taifa stars
Bali ni:-
Interview UDOM, walioitwa kwa Interview kwa ajiri ya nafasi za HR walikuwa 2226...
Huyu ni mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Bw. Leonidas Gama
Huyu ni mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Bw. Leonidas Gama
Mbunge wa Mbinga Magharibi, John Komba
Mbunge wa Mbinga Magharibi, John Komba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.