Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!
0 Reactions
1 Replies
979 Views
Leo tunaanzia kwa jirani zetu (Kenya) Crowds gather to watch a building after it collapsed, in Nairobi, Kenya.
3 Reactions
35 Replies
13K Views
  • Closed
we machozi band ya jaydee ana mke???ni mzuri jamani....mie niko tayari kuwa mke wa pili.....
0 Reactions
91 Replies
10K Views
Haya mtoto wa kitanzania huyu mwenye macho haambiwi tazama wallah kajaaliwa na anayekula anafaidiiii!!!mwamjuaaaaaaaa!!!
0 Reactions
49 Replies
8K Views
<tbody> Mwanamke mwandamanaji alivyoshushiwa kipigo Tuesday, December 20, 2011 10:30 PM Katika hali ya kusikitisha na kukatisha tamaa, Polisi wa kijeshi (MP) wa Misri wamemtandika hadi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Si unakumbuka wale jamaa walikuwa wanakula ugali kwa picha ya samaki? Sasa tumeamua kuurejesha rasmi mfumo huo ambao unafaa sana kwa awamu hii ya nne!
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Mbunge wa jimbo la Iringa mjini Mhungaji Peter Msigwa(Chadema) picha ya kushoto akiteta jambo na mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe (CCM) kabla ya kuanza kwa kikao cha kamati ya ushauri...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani Dar si joto sana kucheza nayo?lol
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Picha hii inaonesha Kichwa cha Ng'ombe katika tawi la mti wa mbuyu ni katika hifadhi ya taifa ya Selous, hii ingefaa kuingia katika maajabu 7 ya dunia kuliko mlima Kilimanjaro.
12 Reactions
22 Replies
14K Views
guys, lets caption the photos
0 Reactions
4 Replies
2K Views
huyu ni jokotehuyu ni wemaplazaaa platinamuuu,sukarii ya warembo....who is the best btn wema & jokote
1 Reactions
28 Replies
3K Views
ANGALIA KIJANA ANAMVUTA MWENZIE KAMA MKEWE KISA AFISA MWENZIO MMHHH
0 Reactions
37 Replies
10K Views
ndege jamii ya korongo ajipatia kitoweo cha samaki kiulaiini toka kwa mchuuzi.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
dume zima linakata viuno...lol
0 Reactions
25 Replies
5K Views
nipo hapa Edeni Guest-Mtwara, nikiwa ndani ya chumba nilicho'lodge ghafla nakutana na hizi AMRI, najiuliza WHY uongozi wa guest umeamua kuziweka (hasa na.5). coz nimezoea kuona maagizo ya...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
..................
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nyie mlio waoa hao wanawake wakimarekani kwa ajili ya kupata makaratasi inaelekea mna shida sana. Kama mambo yenyewe ndiyo kama haya basi tunawaombea usalama. Rudini kwenu jamani njaa zitawauwa bure.
7 Reactions
28 Replies
6K Views
Back
Top Bottom