Mi huwa sishangai nikimwona msichana amebabuka kwa mkorogo,,ki ukweli, weupe ni uzuri tosha.
Embu chukulia huyu mdada hapa chini kama angekua mweusi tiii,,nani angemtambua Tanzania na hata kupewa...
Huyu jamaa anastahili sifa za pekee, yaani dunia ya leo unaongeza mke wa pili , yule wa kwanza anafurahia hivi kweli? au alilemewa na kazi ya jamaa ha ha ha ha Habari kwa hisani ya Global Publishers
Pope Benedict XVI kissing on the lips Egypt's Ahmed el Tayyeb, imam of the Al-Azhar Mosque in Cairo. Benetton backed down and pulled the photo montage showing the pope kissing a leading imam from...
Sina la kuongezea
Anaitwa kiungo bora sijui na manini nini vile Haruna moshi Boban kulia
Hapa Supa staa Boban akitoka kuchukua medali yake ya kombe la kagame.
SAIDA MWILIMA AVISHWA PETE YA UCHUMBA KWA MBINDE
Mtangazaji wa Luninga Saida mwilima amevishwa pete ya uchumba hivi karibuni na mchumba wake wanotarajia kufunga ndoa hivi punde...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.