Kuna watu wana tabia mbaya.. wakipita karibu maduka hasahasa yanayouza nguo na viambatanishi vyake, wakaona mdori uliovishwa nguo, basi kama ni mdada hujipitisha na kumvua titi moja libaki nje, au...
Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mkoa Ruvuma Bi. Aziza Luttala ,akimuapisha Diwani wa Kata ya Matimila kupitia Chama Cha Capinduzi(CCM), Bw. Menas Komba, juzi katika Ofisi za Halmashauri ya Wilaya...
Motorola MicroTAC hii ilionekana Poa Baadae ikaja Model Mpya yake Ikaitwa Star Tac Ukiifunika inatoa mlio wa Tac Poa Sana
Nokia 101 Ilikuwa lazima ucharge kila siku ukitoka job
NEC P100 hizi...
Mbunge mteule wa jimbo la Igunga, Dk Dalaly Kafumu (CCM) akisalimia wananchi katika mkutano wa kumkaribisha jijini Dar es Salaam, leo kwenye Viwanja vya Bakhresa Manzese. Kushoto ni Mke wake...
Hakuna sababu ya kuingia gharama zisizo za lazima wakati uwezo wako na nafasi yako inakuruhusu kiwango hiki, hapajaharibika neno maana kila hali imeonyesha kukidhi hadhi.
Madaktari wa Hospitali ya Holy Family (HFH) mjini hapa wanapigania maisha ya mtoto aliyezaliwa Septemba 25, mwaka huu akiwa na sura mbili na uzito wa kilo 3.2.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Naibu Waziri wa Ujenzi, Dkt.Harrison Mwakyembe wakati alipomtembelea nyumbani kwake Kunduchi Mtongani, jijini Dar es Salaam juzi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.