Jamani nisaidieni kama kuna nchi ambayo inatumia pesa mpya na za zamani kwa wakati mmoja,hasa yanini kuchapa mpya wakati za zamani zipo kwenye mzunguko?angalia hiyo noti na uchakavu wake mnipe...
Jamani tujihadhari na matairi ya ku-retread. Angalia tairi la nyuma kushoto. Ajali hii ilisababishwa na kufumuka kwa tairi. Ilikuwa saa nne asubuhi maeneo ya Rungwe ambako hali ya hewa ni baridi.
Nimesoma thread humu ndani kuhusu mgombea ubunge wa UPDP, kwa bahati nzuri nilifanikiwa kupata picha zake baada ya kufukuzia msafara wake kwa baiskeli, ulinipita nikiwa katika baa ya Kibo nikipata...
Naombeni kura zenu mtanipa ccm au cdm.wakulima na wafanyakazi wameniahidi kwa asilimia 80 nyie je ngapi fanyeni kweli msipoteze nafasi hii tena aka k. S.i.n.i.y.
Kati ya wanyama waliosahaulika nchini mwetu ni hawa nguruwe mwitu. Sioni taarifa zo zote zinazohusiana na uwepo wao kwenye mbuga za wanyama na wala jitihada za kuwahifadhi. Ina maana hawa wanyama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.