Ndugu wadau.
Mengi yalisemwa kuhusu ndugu yetu Hassanali kuhusu the way alivyopunguza uzito. Wengi wao walidai kuwa jamaa alifanya surgery kuondoa extra fat mwili kwake. Na kweli jamaa ali-trim...
Nimeziona picha nyingi kuhusiana na ajali ya meli Zanzibar, lakini picha hii imenigusa kwa namna ya pekee kabisa. Nikiangalia sura zao zisizo na hatia, ninaona kuwa kama taifa, tumewaua malaika...
Nape siku zote anakuwa na majibu mabaya,ukipinga hoja yake facebook anakuremove kwenye friends zake,Hivi mpaka lini ataweza kukibia hoja za watu?kama anashindwa kumjibu mwananchi wa kawaida je...
Nimepita barazani kwa kaka michuzi nimekuta kuna habari kwamba kuna mgonjwa anawatafuta ndugu zake,, kwa bahati mbaya hapa kwangu nimeshindwa kuangalia picha za mgonjwa mwenyewe kama ambavyo...
Wana jf jana nikiwa pande za TANGA maeneo ya muheza nikashuhudia hili tukio la busi la hajees likiwaka moto bila kufahamu chanzo cha moto huo. Kwa bahati hapakuwa majeruhi wala aliye poteza...
Watoto hawa wapo kwenye shock na hofu ya kutisha,taifa na viongozi wanatakiwa kusimami a sheria ili mambo yanyooke,vinginevyo kila siku itakuwa vilio tu.
Viongozi wajiulize kwa nini nchi kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.