Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!
Wakuu hii picha kwa wale tunaokumbua au tuliosma kanumbas ezni zile za sokodnary kwenye mtihani wa gegrapgy kulikuwa na swali la Photograph and map interpration. Lilikuwa lina masi 40 ama...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
kuelekea miaka 50 ya uhuru Dogo anakatisha katika mtaro wa maji machafu, ama kweli miundombinu ya Bongo ni hatari kwa maisha ya wanadamu.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Baada ya hali ya uchumi kuwa ngumu, jamaa huyu aliamua kushika bango hili kwa familia yake. Unafikiri alikuwa sawa?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mhhh... Haya MATATOO mengine kama siyaelewi elewi hivi!!?
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Jamani kumbe na ninyi pia mnavutwa kuangalia!!!!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Dah Huu uvaaji umekaaje??
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Hapo Osama kabla na baada ya kutokea kimiujiza kwenye tukio la kikao cha Obama na watendaji wake wakati wakiangalia tukio la kifo chake!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Inaonekana CCM wameanza kamchezo ka kuwagawia sana pipi watoto kila wanapokwenda..... Je hii inaonyesha ni upendo kwa watoto hao au kuna nia nyingine maana hawa watoto hata kura hawapigi kwa hiyo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau, Makamu wa Rais ailikuwa hapo Songea kwa ajili ya uzinduzi wa siku ya Mazingira duniani. Lakini ukijaribu kuiangalia hiyo picha kwa makini utaona kuna sare za kijani na njano za chama...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
http://uk.video.yahoo.com/stupidvideos-24039261/stupidvideos-24317891/baby-tries-to-eat-cat-tail-25339697.html;_ylt=AiPKuvvIDoQxyyiW2gWsAK6_1_k5;_y...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nipo safarini kuelekea Samunge kwa Babu, napitia hapa (KILIMANJARO INTERNATIONAL AIRPORT (KIA), najikia kwenda maliwatoni. Naingia hapa maliwatoni (GENTS), napokelewa na harufu kali sana ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Rafiki yangu mmoja ambaye anafanya kazi Ikulu jana amenipa picha ya JK akiwa amekunja Nne katika jumba letu la Magogoni. Swali la kujiuliza, inafaa rais wa Nchi ambaye nchi yake ipo gizani...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
............................................................................Messi vs 6 manutd players
3 Reactions
39 Replies
6K Views
Ni mkazi mmoja wa mkoa wa Pwani, kama alivyonaswa na kamera ya mpiga picha wa magazeti ya Serikali, akinywa maji baada ya kuzidiwa na kiu, maji ambayo....! (sidhani kama ninahitaji kuandika lolote...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Sijui huyu bonge alikuwa anavutwa ili apelekwe wapi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii lazima hii inaniacha na maswali mengi kuliko majibu....
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Hivi kwanini watu wakiwa CCM shape zao zinabadilika?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom