Katika bank zote Hawa jamaa nawakubali
Kwenye kupambana na corona Wana vitu vya ukweli
Kuanzia sanitizers zao na mambo mwngine
Najivunia Sana kuwa mmoja wa wateja wao
Bank ya wajanja
Ova
Sent...
Pichani ni Mbunge wa ccm kutoka Babati akijifukiza Nyungu ili kupambana na virusi vya Corona, katika kuitikia wito wa Mwenyekiti wa Taifa wa ccm aliyewataka wananchi kufanya hivyo
Wewe kijana Mungu akupe Maisha marefu mno , umeileta heshima kubwa sana Mbeya , umeiondoa kutoka kwenye utumwa wa wananchi kuabudu viongozi na sasa tunaona viongozi wakipiga magoti kuwaabudu...
Naona Mungu kaamua kuwapa intro ya Gharika waishio Bukavu.
Chanzo:LE DIOCESE D'UVIRA SINISTRE EN PROVINCE ECCLESIASTIQUE DE BUKAVU/RDC | Archidiocèse Catholique de Bukavu
Sent using Jamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.