Kama kawaida mzee Wa misele
Leo nlikuwa na pilika moja Nkaenda makaburi
Ya kino(kanumba) nmefurahi kuona mpaka Ndani hapo wameweka ndoo ya kunawa
Ehh..... Ngoja nsogeee break point nkachonge na...
Kama kawaida mimi mtu wa misele
Kwenye misele nakutana na mambo mwngi
Naona mdg Mdg wabongo tunaanza kujifungia
Leo nlienda duka moja naona mteja na muuzaji kumewekea mpaka
Ova
Sent using Jamii...
Wajameni kuna huyu mdada alobebwa kama nimemfananisha na yule anayewania kukipora kigoda cha sugu au labda ndo yeye kweli?? Wadau naomba nisaidieni..
Msinipige mawe lakini
Sent using Jamii...
Wakati Ukuta! Hawa Majamaa hawakusumbuliwa na Covid19 wala HIV
Chukua Tahadhari zote!
Weka akiba ya Chakula ndani!
Michepuko kuweni na subira!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa picha yake inanifurahisha Sana, na sijawahi kukuta anacheka. Mwenye kujua historia yake please! Ni mbongo au, na alipatwa na Nini hadi alie hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lord Lofa: Nijichane na mamisosi ili nivimbe ki roho mbaya uwanjani na watemi wao wa Bush lazima waipate.
Ndumilakuwili: Alafu wabebe mzigo wa magoli.
Lord Lofa: Usikete ujinga na mzigo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.