Mtanzania, pg 11, 9/12/2019
Huu sasa tuite ni mfumo jike au nini.
Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro "anakagua" mafuriko mkoani kwake hana Safety Clothing hata moja.
Utafikiri bi harusi anaenda kitchen...
Yule msanii maarufu amekuja tena na picha yenye utatanishi kuelekea 2020.
Kwa wenye uelewa tunaomba atufumbulie hiyo habari picha
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona sasa kuna haja ya kufundishana namna ya kupiga picha kuna baadhi ya picha unaona kabisa hazijabeba details muhim
Kutokana na mpiga picha kukosa timing ya picha au kukosea angle ya yeye...
Kama ni pesa nakubali watu wana pesa dunia hii, hivi kabisaaa mimi naenda kununua peni kwa hela bei hizi? Labda siwezi jua huko mbeleni.
Ilaa kwa sasa acha niendeleee tu kuziangalia kama hivi na...
PICHA hii inaonyesha nyumba ya sanaa ya zamani zaidi kujulikana duniani. Iko kwenye pango huko kisiwani Sulawesi, Indonesia. Iligunduliwa na timu iliyoongozwa na Adam Brumm wa Chuo Kikuu cha...
Habari za jioni wakuu..
Kama kichwa kinavyojieleza ningependa kufahamu mambo ama factors zilizopelekea Mwanza kudevelop and become a city..
Kwa DSM tunafahamu nn kilipelekea iendelee...ni jiji kuu...
Leo tena yule msanii maarufu wa katuni kutuletea picha tata.
Naomba kwa wale wenye ujuzi wa kusoma habari picha watujuze sisi tusiyo na ujuzi huo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Muonekano mpyaa wa chuo cha IHEMI kilichopo mkoani Iringa baada ya maboresho.
Chuo hichi ni cha CCM maalum kwa ajili ya kuwajenga na kuwaandaa vijana wake kiuongozi.
CCM HOYEEEEEEEE
Sent using...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.