Miaka ya 1960 baada ya uhuru mpaka miaka ya 1970 bidhaa za nyumbani kama mafuta ya kujipaka yalikuwa yanafungwa katika vifungashio vya glass.
Kuna wakati bidhaa za nje hazikuingia kabisa...
Huu mti ni aina ya Cactus kama sikosei, tangu ulipopandwa mwaka 1999 sikuwahi kuuona ukitoa maua, hadi leo ndio nimeona maua yake. Tunatakiwa kuuondoa ili kupisha ujenzi, kuna mtu anautaka nimuuzie?
Katika ubongo wa mwanadamu kumejawa na kila aina ya vipaji vya kufikirisha sana,
Hasa pale mtu anapochukua mda wake mwingi sana katika kuutafakari uumbaji wa Mungu na kuamua kufanya kile ambacho...
Hebu na tugeukie tamaduni desturi na mila za makabila mbalimbali hapa duniani kwa njia ya picha.
tuwemo.
Hawa ni mabikra wa kizulu. Hawaoni shida wala taabu kuachia vifua wazi ilimradi sherehe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.