Mimi sina la kusema saaanaaaa
Mflat screen huo hapo nchi 49 mtu kautungua kwa laki 8 tu
Kufka home anafungua aangalie LALIGA
aLichokutana nacho ni GALILA badala ya LALIGA
Hapa ni mbele ya ofisi za bodi ya wakandarasi na wakati wote maengineer wanapita ili waingie ofisini.Lakini miaka yooote pako hivi.Ni mtaa maarufu Sana ambao unakutana na samora avenue,garden kuna...
...umeme ukakatika; ukakomaa kuoga gizani hivyo hivyo ; ile karibia unamalizia kuoga umeme ghafla ukarudi halafu unakutana na kiumbe hichi uso kwa uso.[emoji116][emoji116]
What will you do??.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.