Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!
Sisi kwetu yanaitwa amasharazi na ni moja ya matunda ninayoyapenda sana.
0 Reactions
40 Replies
9K Views
Wale mliowahi sikiliza Radio Tanzania Dar Es Salaam (RTD) mtawakumbuka watangazaji wakongwe Abdul Ngarawa na Jacob Tesha. Mzee Tesha pia alikuwa mwamba kwenye External Service.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
No, Mitch Mcconnel, put him down. For how much longer are you going to carry all that burden around?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu salaam. Rangi au alama yoyote ktk bendera huwa ina maana fulani au inawakilisha kiti fulani. Naomba kuuliza kwa wajuzi wa mambo, hivi rangi zilizopo ktk bendera ya Chama cha Demokrasia na...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Wanajamvi leo nimeona picha ya kiberiti cha zaman kule kijijini tulikiita "ekibiriti kwe kyoma" yaani kiberiti cha chuma, nakumbuka muda uo umeshikwa tumbo la kuhara alafu umuamushe bi mkubwa afu...
2 Reactions
18 Replies
6K Views
.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Amazing Kilimanjaro. Wale wakongwe wazoefu wa mlima Kilimanjaro niambie hapa ni wapi!!!
7 Reactions
39 Replies
5K Views
Nothing remains the same!!!
0 Reactions
9 Replies
1K Views
From kishimundu
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Back
Top Bottom