Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!
Eti wana haya si ndio katika yale!?Nimekaa nikawaza tu kwa sauti..Hivi hakuna uwezekano wa kurekebisha hii sheria ili itoke kwenye miaka30 iwe ata mitatu(3)na nusu?? @NgarenaroBoy.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
11 Reactions
52 Replies
11K Views
Haka kajamaa kanaoa huyo mwanamama. Sasa najiuliza je, ni kweli amekapenda kamshikaji au ni kujitoa kimasomaso a.k.a kutoa gundu? Maana huo mzigo naona kama ni over size
0 Reactions
47 Replies
8K Views
Tarehe ya Leo Katika Picha.
2 Reactions
0 Replies
852 Views
Wenyeji watwambie ni mtaa gani huu!?! Karibu
2 Reactions
39 Replies
5K Views
Hii Picha imechukuliwa katika mmoja ya nchi kutoka mabara makubwa manne 1. Africa 2. Ulaya 3> America Kusina na Kaskazini na mwisho Bara la Asia. Ningeomba mwenye kujua ategue hiki kitendawili...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Mchina siyo mtu mzuri kabisa. Sijui JK aliwapa nn hadi wakamtunuku Uprofesa wa heshima....😂😂😂 Hivi JK huwa anakubali kuitwa profesa kweli?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Pozi yente kabisa la Bi'mkubwa na Mwanae uko Uyole Mbeya. @NgarenaroBoy.
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Hivyo vitoto vi'mapacha ni vizuri kweli alafu vinapendana sana. @NgarenaroBoy.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nawaombeni wale wenye ujuzi na bahati ya kuwa na akili ya kusoma habari picha mnisaidie nini maana na ujumbe uliomo kwenye hii picha ya msanii Kipanya.
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Wakati huu wa pasaka
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Huyu dogo, Ansu Fati,ana umri wa miaka 16. Tayari anachezea Barcelona na amefunga goli na kuwa mchezaji mdogo kupita wote kuwahi kufunga goli pale Barca. Sasa usiniulize nilikuwa nafanya nini...
21 Reactions
108 Replies
10K Views
Kama unavoona mtazamaji wa Chugastan TV,huyu ni Chaliangu Mwakiposile Mwakajana akiwa na Mamilox ake anaeitwa Andongolile Mwakakesho. Ama kweli ule usemi wa mkipendana zaidi lazima mfanane hatimae...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
LiBRA September 23 hadi October 22... Honga sana kipindi hicho[emoji13][emoji13][emoji12][emoji14]
3 Reactions
27 Replies
5K Views
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nyaani mkinda tumkindule, kasoro visiwa vya mwanabuba... Mwanabuba gani ni mdodo, Imkulu dawa, mwanabuba.!! Kama hujawahi kulipata usijaribu. NB: mliokuja mbiombio na kutarajia mlichofikiria...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Ukiangalia uwelekeo wa macho ya wenzie na yake tofauti. Naona anawaza ticha amalize upesi akanyonge cha arusha [emoji263] [emoji3][emoji3]
1 Reactions
15 Replies
3K Views
We Dada njoo PM tuyajenge tafadhari
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ebu
Ww unae soma hapa tupia picha yenye ujumbe mkubwa
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Back
Top Bottom