Hapa kitaani asee kuna maraia shazi wamezidi kunifatilia na kunimulika mboni nikiwa na mamiloox wangu,et wasinione na manzi tu wanaenda kumwambia Mama"Mwanao yule mhuni anadendeka na mademu...
Wakati mimi najibana ili kununua simu kali,nyie pesa zenu mlikua mnatumbua tu,eti leo mnategemea muonekane kwenye picha iliyopigwa na simu yangu!?NEVER HAPPEN.
@NgarenaroBoy.
Habarini wana jamvi, nimeona kuna kitu kimepita na kuacha izi harama hapa chumbani, mwenye kujua anijuze
Nimeambatanisha na picha hapa
Chenye harama kama ufito mweupe..
Pamoja na ndege yetu kushikiliwa, safari inaendeleo na ndiyo hiyo katika muonekano huo.
Nimevutiwa na aina hii ya kupitisha reli ndani ya mlima ilikuwa naiona huko kwa mabeberu but soon uso kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.