Wajameni itazameni hiyo picha mimi nimeshindwa kuielewa kipanya ana maanisha nini maana nawaona wanafunzi tu sijui wanaenda shule[emoji849]
In God we trust
Sabina Chege, aliyekuwa anaigiza kama Rehema kwenye tamthilia maarufu kutoka Kenya, Tausi. Sasa ni Mheshimiwa Sabina Chege, mbunge anayeiwakilisha 'County' ya Murang'a(kwa muhula wake wa pili) na...
Kwa wale wenzangu wameishi au wanaoishi ughaibuni tukutane hapa.
Kwenye Uzi maaalumu wa kuweka picha,historia,vifutio,maendeleo na sifa ya miji ilioendelea kimaendeleo
Hizo hapo picha za mji wa...
jamani waTanzania tunajijua tunavyopenda mambo ya harusi (hasa kula na kunywa na kucheza KWAITO), maana kanisani/bomani wasindikizaji siku hizi hatuendi kabisaaaa. Sasa tizama picha zilizopigwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.