Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!
hapo umetafuna mzigo dry night yote asubuh unakuta mzigo upo hv
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Matunda ya Hance Mtanashati yanaanza kuonekana..
1 Reactions
33 Replies
9K Views
hizi picha ni za wadada wa kawaida tu kwa ethiopia awahesabik kama warembo wala hawana umaharufu wowote.
1 Reactions
129 Replies
123K Views
Huwa wanatusaidia kulinda
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Hizo pete zimefanana hadi vidole walizovalisha.
1 Reactions
16 Replies
2K Views
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Walivaa suti nyeusi ndiyo marafiki zako wa karibu sana na ndo mabest men katika harusi yako
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Hapa hata nisipoalikwa ntaenda tu nikalipe kiingilio
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Unampa dogo maksi ngapi kwa ubunifu huu? Unazani akiwa mkubwa afanye kazi gani? Je! Kuna namna yakumsaidia kutimiza ndoto zake? Naomba tushauliane
9 Reactions
50 Replies
5K Views
Umewahi kuona ama kuwaza kuwa panya anaweza kuwa namna alivyo huyu?
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Pichani mwanadada huyo kwa jina la Azzie(25) ametupwa lupango huko ng'ambo baada ya kuruhusu wanaume kadhaa kumbaka Mara nne binti yake wa miaka 2 na kumuambukiza magonjwa ya zinaa. Dhamana yake...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Alikuwa Miss Lang'ata Prison 2016, Kipusa Ruth Wanjiku Kamande, 24. Jana alihukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mpenziwe kwa kumchoma kisu mara ishirini na tano.
1 Reactions
39 Replies
6K Views
Amekupa mahaba yote, akijua ndo mume mtarajiwa then unamwambia hivi, anaweza kukuangamiza aisee[emoji1] [emoji1]
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Siasa isiwe chanzo cha kutopendana
0 Reactions
10 Replies
2K Views
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom