jamani ivi level hii ya akina myweather ndio ile ya mabingwa akina lenox,au tyson?? ivi "mike iron tyson" akisema aombe pambano na manny pacquiao au myweather wanaweza kusubutu?? kwan bingwa wa...
Ndugu Wanasimba,
Leo nikiwa katikati ya Jiji la Dar karibu na ofisi za gazeti letu JAMHURI nimekutana na mjadala ulionitoa jasho. Mjadala wenyewe unahusu mchezo wa leo kati ya Yanga na Azam...
naamini uongozi uliomakini wa yanga watumie sheria na kanuni za mashindano za fifa zinazo elekeza kama cecafa hawana utaratibu wa kushiriki wasishiriki kabisa wasiburuzwe na dikteta musonye wache...
wanajamvi naomba msaada wa kitakwimu au uzoefu.kwa mfano wa mechi ya kesho kati ya barca na bayern,kati ya wachezaji wa barca kwa kuwa wana ufaham mfumo wa ufundishaji wa guardiola au guardiola...
Gravity Force provides various unique sports and fun activities to their customers of all ages like Dodgeball, Free jump, Parties, Fitness, Toddler takeover.
For more information please visit our...
Kesho saa 16:00 hapo uwanja wa taifa je simba kupanda Ndege ama azam kuendelea kuwakilisha taifa kwa msimu wa tatu,kinachonifurahisha Yanga kuwa katikati ya mtego maana rais wa timu manji aelewani...
Ilipromotiwa sana kwamba atayeshinda kwenye pambano kati ya matumla na mchina ataenda kupigana kwenye pambano la ufumbuzi kati ya Man Pacquiao na Floyd Mayweather ila naona kimya, au ndo...
Naam bila shaka, naomba tukutane tena katika muendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo Azam FC akiminyana na Simba sc hivi leo.
Vikosi vya timu za AZAM FC na SIMBA S.C vinavyoanza leo;
Azam...
Hawa yeboyebo kudadadeki zao siwapendi wiki yote hii,ubingwa wenyewe wamebaatisha tu,msuva meenyewe kafunga magoli ya kuotea....azam piga yanga bao 1 tu niburudike mm
Msifanye usajili mkubwa kiviiile,na wachezaje muhimu wasiachwe....haswa mbuyu twite, ngasa nk.timu ikibaki hivihivi tutachukua ligi kuu kabla ligi haijafika katikati mwa msimu
Kweli pesa sio kila kitu.
Azam campany imewekeza vitu vingi sana na kimoja wapo ni soka ambapo ilijitahidi kutushawishi sie tuliovunjika moyo tuamke na kuiona ni mkombozi. Walipochukua ubingwa...
Bondia kutoka Ufilipino Pacquiao bado anakibarua kigumu hapo Nevada baada ya kutoa taarifa za uongo katika hali yake kiafya kwani alikuwa na majeraha katika bega lake aliyopata wiki tatu kabla ya...
Kama Yanga kimataifa angemtoa Etoile Du Sahel angekutana na Raja ya Morocco kwenye kundi A kwenye draw ya CAfCC iliofanyika muda mfupi uliopita...TUJIPANGE MSIMU UJAO KWA MASHINDANO MAKUBWA ZAIDI...
Klabu ya Dar es Salaam Young Africa FC imetamka thamani ya kiungo wao mashuhuri kabisa yaani saimon Msuva kuwa ni Shillingi Million mia 750/=
Kutokana na Tetesi zinazosikika kwamba kuna baadhi ya...
Wadau, hii ni taarifa iliyovuja kutoka vyanzo vya kuaminika kuwa Bondia wa Kifilipino, Manny Macquiao aka PACKMAN ameshindwa kwenye pambano lake na mpinzani wake Floyd Mayweather kutokana na...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - RELEASE NO. 66
TAREHE 05 MEI 2015VPL KUENDELEA KESHO
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara inatarajiwa kuendelea kesho kwa mchezo mmoja utakaopigwa katika dimba la...
Wakuu, nakumbuka wakati naanza kupata ufahamu wa soka hapa nchi, timu iliyokuwa ikinivutia ni Cosmopolitans baadae ikapotea kimya kimya. Tafadhari mwenye kumbukumbu nzuri ya hii timu atupie hapa...
After what some had hoped to be the "fight of the century" turned out to be, what some would want you to believe, the "bore of the century", I thought I should share some of my views.
On the...
Mayweather vs. Pacquiao: the uber-bout that wasn't. The so-called fight of the century was pay-per-snooze, a complete waste of everyone's time and money - except in a boxing community now rolling...
Jukwaa hili leo nalivamia.Nataka kulitumia.Kulitumia kusemea jinsi nilivyoumia. Mtu aliyepigwa ndiye aliyetangazwa mshindi. Mshindi ameachwa. Mkimbiaji ulingoni ndiye mshindi! Meiwedha amepigwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.