...Toka jana nimesoma magaeti na blogs wote wametofautiana Jina la mfungaji wa goli letu lilokataliwa
...goli hilo lilifungwa dakika ya kumi na sita ( 16 ) ya kipindi cha kwanza...wapo...
Kiungo wa Barcelona na Timu ya Taifa ya Hispania, Xavi Hernandez ametangaza kustaafu soka la kimataifa.
Hernandez mwenye umri wa miaka 34 alichezea timu yake ya Hispania na kutwaa ushindi na...
Kip Keino, Obiero lead Team Kenya to Glasgow Games
Kenya's flagbearer Mercy Obiero leads the delegation during the opening ceremony of the 2014 Commonwealth Games at Celtic Park in Glasgow on...
Taifa Stars' defender, Shomari Kapombe transfer is sure to go down as one of the most controversial dealings for many past and future seasons. His overseas trials and eventual transfer to France...
Ni ukweli usiopingika, kishindwa kwa Tanzania huko jumuiya ya Madola kunachangiwa na watendaji wa kamati ya Olyimpic,
Bayi anasimama kama katibu, lakini kiuhalisia yeye anaonekana overall...
Tanzania yashindwa kupeleka kocha na watu wa kuwahudumia mabondia kwenye mashindano ya madola.Bondia Suleiman Kidunda,ahudumiwa na wakenya wakati akipigana na Kehinde Ademuyiwa wa Nigeria...
Msuli wa mshambuliaji mpya wa Simba, Elius Maguri umekuwa gumzo.
Katika mazoezi ya Simba, mashabiki wa kikosi hicho wamekuwa wakijadili kuhusiana na miguu yake kuwa na misuli mingi inayoashiria...
Kwa wale wapenzi wa boxing,hivi kule America huu mchezo wa boxing inaonesha unalipa sana,sababu unakuta machalii kuanzia miaka 6 wapo gym hasa hawa ndugu zetu black na wanajifua hasa.
mimi...
Jamaa wanaotangaza kipindi cha sports extra wanakera sana wanapokuwa wanatangaza kwani wanakuwa wanachanganya changanya kati ya kiingereza na kiswahili 'swa-english"yaani mpaka wana kera sana...
Mkutano Mkuu wa Klabu ya Simba umetangaza kumfuta uanachama Michael Wambura na wengine 71 kutokana na kuishitaki klabu hiyo mahakamani.
[SUNDAY , 3RD AUG , 2014
Mkutano mkuu wa klabu ya Simba...
Former Gor Mahia striker refutes reports that he has agreed terms to join Tanzanian giants as bankers insist they will not release player till end of season
Struggling KCB are concerned about...
Ushawahi kusoma mahojiano ya wachezaji wa zamani wa soka wa bongo wanapoelezea kazi wanazozifanya baada ya kustaafu? oh yes wote wanasema ni wafanyabiashara
Haswaa, hautasikia sijui...
Hiyo ni mechi ya kirafiki. But kwa wenzetu ndio wanatafuta namba hapo hasa wachezaji na kocha kuangalia mbinu zake.
Mwanzo mzuri wa Van Gaal na kikosi chake tofauti kama alivyokuwa Moyes katika...
yanga wameanika kikosi B kagame cup hili linakubalika katika hayo mashindano mwenye kuelewa atupe ufafanuzi
UONGOZI wa Yanga umesema umepokea barua ya ushiriki wa michuano ya Klabu Bingwa Afrika...
Dar es Salaam.
Local sports fans have been left crestfallen following Team Tanzania's poor performance at the 2014 Commonwealth Games in Glasgow, Scotland...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.