Jana niliwasiliana na mchezaji mmoja wa Yanga alieko Uturuki ambae ni jirani yangu kaniambia walifungwa 7-1 na timu moja ya huko siku ya jumatano ila waliambiwa wasiseme na waandishi wa habari...
Wana Michezo,
Mpaka mkutano wa jana kuisha hakuna jibu sahihi juu ya
ujenzi wa kiwanja cha kaunda ili nao Yanga wawe na kiwanja
chao. Imekuwa ni hadithi kama ile ya sungura na fisi.
Francis...
Former Wolves and England goalkeeper Bert
Williams has died, aged 93.
Williams joined Wolves from Walsall after the
Second World War and went on to make 420
appearances for the club.
He won...
Kufuatia sare ya 1-1 na Levante,FC Barceona imejikuta katika hatari ya kupokwa uongozi wa La Liga. Hadi sasa, ikicheza michezo 20,Barcelona ina alama 51 huku Atletico Madrid ikiwa na alama 50 na...
mpaka sasa ni Chelsea 3 vs. 1 Manchester United 0 ni kipindi cha pili,
nimeumia sana kwakweli
kwa mlio mbali na TV basi unaweza cheki mechi hii kupitia link hii hapa...
Ikicheza kwa kushambulia kutokea pande zote za uwanja(kushoto na kulia)Yanga leo imeshikwa shati na timu ya ligi kuu ya Kazakhstan(KS Flamurtari)
Mchezo huu ambao umemalizika muda mfupi uliopita...
Jamani hivi kama tunaweza kupata matokeo ya mechi iliyochezwa Side Stars Complex Manavgat Antalya kule Uturuki inakuwaje tunashindwa kupata matokeo ya game iliyopigwa hapo Temeke, enh....wapi...
Mourinho made Rooney his top transfer target over the summer, but despite lodging three separate bids for his services, United refused to sell.
The Blues boss now says that he expects David Moyes...
Nilifikiri ningekuta uzi wenye updates humu, lakini matarajio yangu yamekuwa sivyo. Pamoja na vyombo vya habari kujitahidi kutangaza kwa usawa michuano hii inayoshirikisha wachezaji wanaocheza...
Wana michezo wenzangu hasa kwa wale tunayoipenda Simba,
Naomba kwa ambao wako Zanzibar watupe live updates hapa...
Hili ni ombi maalumu kwani sijaona uzi wowote juu ya hii mechi.
Unajua ukimuangalia moyes yupo simpo sana lakini ni mtu mwenye akili sana katika maamuzi yake mfano timu yake katika hali yake sasa iliyonayo ila mcheki anavyomcheki anavyoangaika kutafuta mtu...
Ni mwendo wa vipigo tu:
Katika mechi yake ya 2 ya kujipima nguvu, Wafalme wa kusakata kabumbu nchini Tanzania Dar Young Africans almaaruf kama Yanga wameifunga team ya Altay S.K inayoshiriki Ligi...
Kocha wa sasa wa chelsea leo hii amenifurahisha sana kwa maoni yake alotoa wakati anahojiwa na bbc sport. Amejaribu kusema kwamba hamuonei huruma moyes japo yupo kwenye wakati mgumu sasa kwa kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.