Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Hivi ndivyo mashabiki wa arsenal tulivyo Dunia nzima mpaka barclaysfootballtv imetuma pongezi na shukurani kwa mashabiki wote wa Tanzania na sio kwa wale wapinzani wetu wanaochechemea kwa kurudi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi Unajua ni kwa nini Juma Kaseja anavaa jezi namba 29? nimeamini Juma Kaseja bado ana inda..endelea kusoma
0 Reactions
28 Replies
19K Views
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limesema litaisaidia Simba kudai fedha zake dola 300,000 kwa Etoile du Sahel. TFF imesema isaidiana na Simba kwa kuwa inajua haijalipwa hata senti baada ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
The wwe superstar (mieleka) wa mwaka huu ni daniel bryan, ndio katangazwa sasa, kweli jamaa anafaha sana (waliopambana naye ni bigshow, john sena, rko, cm punk) SOURCE: etv
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Hongereni sana wana wa The Gunners na mashabiki wote..
0 Reactions
2 Replies
930 Views
Bingwa wa dunia x7 wa mbio za magari yuko mahututi. Aumia vibaya ubongo wakati akishiriki mchezo wa kuteleza kwenye barafu Ufaransa Alazwa Grenoble hosp. madaktari wakipigania uhai wake. Aliteleza...
0 Reactions
0 Replies
709 Views
Chelsea vs. Liverpool: live stream Links
0 Reactions
7 Replies
2K Views
TFF imeamua kuwa Ismail Aden Rage bado ni mwenyekiti halali wa Klabu ya Simba, wamtaka aitishe Mkutano Mkuu kwa mujibu wa taratibu za klabu.
0 Reactions
1 Replies
782 Views
Wana JF, Tanzania tuna ligi kuu ya vodacom na ligi nyingine kama ligi daraja la kwanza. Na kuna timu nyingi zinashiriki ligi hizo. Ni timu gani imekuwa Bora kwa mwaka huu 2013??
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Last corresponding meeting Sat 17 Nov 2012 | Carrow Road | Attendance: 26,840 Norwich 1 - 0 Man Utd...
0 Reactions
6 Replies
934 Views
Wadau najua hapa nagusa hisia za watu ila si vibaya nikihoji kidogo juu ya hili,tangu babu wa man u aondoke hii timu imekua inasuasua kidogo na hata yale makeke ya enzi zile ya kusawazisha dakika...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Harambee Stars are this year’s GOtv Cecafa Senior Challenge champions. Allan Wanga scored twice to propel the national team into victory on a day that Kenya celebrated her 50 years of...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wale wenzangu wa zamani mika ya 1980-90, naona vijana wanaburudisha na mziki wa zamani. Shindano hili linajumuisha muziki wa RUMBA, TWIST, POP nk.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
and just like that Ronaldo has made his decision that would affect the perfomance of MANU during the coming season Ronaldo ready to realise his 'dream' move to Madrid Daniel Taylor The...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Hapa nazungumzia mashabiki vs timu zao. Kwanza kabisa imeniduwaza pale huku simba ikijivunia kombe, Yanga nao wakilamba dume. Timu ya Yanga hawana mapenzi na mashabiki wao (wameshindwa kuibuka...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
This time two years ago, I threw banter at the Gor Mahia FC technical bench for botching the transfer season. The far I recall is that their script was fairly simple. The season ended, the then...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
KIIZA AMSHAWISHI DILUNGA KUVUA JEZI ALIYOITUMIA OKWI AKIWA SIMBA Kiungo mpya wa Yanga, Said Dilunga alijikuta akishindwa kuhimili kuivaa jezi namba 25 ya beki wa pembeni wa Simba, Issa Rashid...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Ukiwa kama mwanamichezo, mshabiki wa Simba SC au mpenzi tu wa soka, unamzungumziaje Ismail Aden Rage? Je, maoni yako ni yapi kuhusu mgogoro uliopo kati yake na baadhi ya wanachama wa Simba?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom