Tangu TFF ianze utaratibu wa kutangaza mapato uwanja wa taifa, mechi za simba zimekuwa zikiingiza fedha kidogo kulinganisha na Yanga, hata ukiudhuria mechi za simba utaona watu si wengi sana kama...
Jamal malinzi ukiwa kama member wa jf na jina lako limepita katika kuwania urais wa tff, sisi kama wana jf tunaomba utuambie vipaumbele vyako kama utapata ridhaa ya kuongoza mpira wetu, nadhani...
Yule kocha wa zamani wa kikosi cha senegal aliyekipeleka fainali ya mataifa afrika 2002 na robo fainali ya kombe la dunia bruno metsu amefariki dunia leo kwa maradhi ya kansa ya tumbo.. Source...
It may seem unfair to other leaders who have had a more passionate love for sports but Nyereres shoes remain too big fourteen years after his demise and over twenty five years after he stepped...
Liku kuu Tanzania bara inazidi kuchukua kasi tunaona timu Mpya kama Mbeya City ikiwatoa jasho vibonde wa ligi
Upande wa pili tunaona Man City ya bongo (AZAM FC) ikiwa bado haijatoa taswira halisi...
katika mechi ya juzi lukaku romelu striker mdogo wa chelsea kaisaidia timu ya taifa ya ubelgiji kufudhu kwenda kushiriki kombe la dunia 2014 cha ajabu kocha wa chelsea jose mourinho haoni faida...
Mishahara ya wanasoka wetu Tanzania10/10/2013
0 Comments
Utafiti wa Mwanaspoti katika klabu zote 14 zinazoshiriki Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara umeonyesha kuwa klabu tatu; Azam, Yanga na Simba...
nilikuwa nasikiliza kipindi cha michezo Radio Free Africa(RFA) nikamsikia kocha wa Simba king kibadeni akimuelezea mchezaji wake Betram Mombeki mara baada ya mechi na Ruvu shooting akisema...
Baada ya ukame mzito wa medani anga za riadha ni muda mwafaka vijana wepesi wa bonde la ufa kupeperusha bendera ya taifa. Qatar, Marekani wameliona hili mapema tu.
Mechi zitakazooneshwa moja kwa moja (live) na Azam TV kupitia TBC1 wikiendi hii ni kati ya Simba na Tanzania Prisons itakayochezwa Jumamosi katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na ile kati ya...
Timu ya Simba sasa ndo inakabiliwa na ratiba ngumu zaidi tangu ligi ianze tukifanikiwa kupata ponti zote katika mechi hizi bila shaka chereko chereko zitalindima mtaa wa msimbazi.
Mechi...
Rage ataka Yanga wahamishiwe Mabwepande
MWENYEKITI wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage, amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mecky Sadick kuhakikisha anawahamisha watani zao Yanga katika...
Kwa wale wenzangu wapenda mpira wa kikapu sasa hivi tutajionea NBA BASKETBALL LIVE GAMES kupitia STARTIMES ambao wameongeza channel ya NBATV......kwa kweli inaonekana kwa kiwango cha juu sana,sasa...
Azam TV, Yanga walumbana Uwanja wa Taifa Dar
Mpiga Picha wa Azam TV akiwajibika uwanjani
VIONGOZI wa Yanga nusura wazuie Kituo cha Televisheni cha Azam kuonyesha laivu mechi baina ya Yanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.