Kweye Kombe la Mapinduzi Zanzibar mwanadada akatisha uwanjani match ikiwa inaendelea. Nimeshanga kusikia Polisi kusema kuwa alikuwa mgonjwa wa akili na ametoroka Hospitalini, swali ameingiaje...
Klabu mbili kubwa za soka hapa Tanzania za Simba na Yanga zinanishangaza kitu kimoja;Zinz mipango mingi mizuri ya kimaendeleo lakini mipango hiyo imeishia kwenye makaratasi tu kisingizio kikubwa...
Mchezaji wa kimataifa wa simba fc na Uganda ametemwa kushiriki kambi ya mazoezi ya simba fc iliyoko huko umangani Oman.
Okwi hajaripoti dar mpaka leo hii na toka alipo-sign mkataba wa miaka...
Kama kawaida undisputed messi the genius kaonyesha he's the great footballer the world has ever witness!! Kiukwel dogo anajua na hana mpinzan ktk sayari hii!...cr7 wenu atasubr sana kwa huyu...
Yanga imeendeleza wimbi la kupokea vichapo kutoka kwa timu dhaifu za Ulaya, na imepokea kipigo kingine cha bao 2-0 , safari hii ikifungwa na timu isiyojulikana kimataifa ya Emmen FC ya nchini...
Chelsea are beaten again at home by Swansea City by 2 goals to nil, kwa record, yeye ndio mwenye record mbovu mpaka sasa kuliko any other interim manager under Abramovich
Bw. Miraji Mrisho Kikwete.
Shirikisho la Ngumi la Kimataifa Africa (IBF/Africa) limemteua bwana Miraji Mrisho Kikwete kuwa Makamu wa Rais anayeshughulikia maendeleo ya vijana katika bara la...
Hii ni Barca ya ukweli...
Ukianza kuwafunga hawa watu(Barca) wakati mchezo unaendelea, ni sawa na kuwachokoza nyuki kwenye mzinga wa nyuki, kutoka uwanjani unatoka na ulimi nje hoiii bin taaban!
kipindi kifupi kilichopita kuliokua na vurugu nying kuhusu ngasa kwena el mereihk ya sudan naamin.kukiwa kimya mpaka sas hiuku kila pande zikivutana .nimetembelea website ya club na kwenye...
HOTELI walifikia inaitwa FAME RESIDENCE LARA & SPA; Hotel ina Uwanja Mzuri wa MPIRA nimeshindwa kuchua PICHA zake....
Wachezaji wa Yanga wakiwa wamepumzika katika Uwanja wa ndege wa kimataifa...
Azam FC imeingia finali ya Mapunduzi Cup kwa mara
nyingine, imeitoa Simba kwa penati ya 5-4, dk 120
zilimalizika kwa sare 2-2, magoli ya Azam Fc
yamefungwa na Jockins Atudo pongezi kwa timu...
Dakika ni ya 43,mabao ni 2-2...mpira ni mkali kuliko maelezo.Madrid wako pungufu baada ya Adan kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 6.Uwanja ni Santiago Bernebeu
ivi edo kumwembe ana agenda gani na sammata,coz sammatta akifanya vizuri uwanjani mpaka kinshasa jamaa huwa anaenda na kumsifia,,,,na kupiga nae picha kumuandika kwa mazuri,,,,,,,akizingua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.