Hivi jamaani watanzania huu uteuzi wa wachezaji wa Taifa Stars umezingatia nini hasa?yaani unamchukua mchezaji ambaye hata nusu ya mechi za ligi hajacheza ,labda mimi sioni vizuri kwa hiyo...
Mimi ni mpenzi wa mchezo wa Chess, ningependa kufahamu ni sehemu gani hapa Dar, ambapo nitaweza kupata sehemu ambapo mchezo huu watu wanapenda kucheza au some sort of club ambapo watu wanacheza...
Habari wanajamvi,kama kawaida yetu leo tutakuwa tukijuzana matokeo na matukio mbalimbali yatakayojiri uwanja wa taifa na vingine mikoani,Mzee wa Rula mimi nitakuwepo uwanja wa taifa live...
kama wale wazanzibari wanavyoomba waachwe wapumue, na mimi nawaomba yanga na uongozi wao waiache simba ipumueee, wametengeneza mgogoro wa wachezaji na pia wanazipanga timu zinazokutana na simba...
Barcelona's Lionel Messi scored his 75th and 76th goals of 2012 against Mallorca on Sunday to eclipse Pele's record for goals in a calendar year.
Sixty-four of those were for Barca and 12 for...
Wakuu.
Kama mnavyo jua kuwa leo kutakuwa na kabumbu kali kwenye uwanja wa mkwakwani kati ya wagosi wa kaya Coastal Union na Yanga ya Dar es salaam.
Mechi ya leo itakuwa na ushindani wa hali ya...
Jamani nimepata taarifa muda mfupi uliopoita eti kwamba yule mchezaji hatari wa simba Emmanuel Okwi amekataa kuongeza mkata mwingine wa kuichezea Simba kutokana na mkataba wake kubakiza miezi sita...
Na makivic08
Mimi Mpenda maendeleo wa soka la Tanzania, na mwana harakati kunyenyua Soka letu, nina machache ya kuongea baada ya Raundi hii ya kwanza ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzanzia Bara.
*...
habari, wana jf mm binafsi naamin kuwa j kaseja anaua viwango vya makipa wengine waliopo msimbazi,kwan haiwezekan kipa ambaye kila mechi iwe maandalizi ya msimu,ligi,bonanza,mazoezini anadaka yy...
By Mphamvu Daniel
November 12, 2012
It was this evening when the World Cup Qualifier game between England and Poland was on.
Despite the beautiful game,England's beautiful navy blue...
Jana kwa masikio yangu wakati wa kipindi cha Uchambuzi wa Magazeti, nimemsikia mtangazaji John Thobias wa kipindi hiki akifanya kile nachokiita muendeleo wa kuibomoa fani ya habari.
Katika namna...
Haya sasa wana Jf kwa taarifa za uhakika leo wanachama wa Simba wameandamana hadi makao makuu ya club hiyo wakiwa na mabamgo yenye ujumbe wa kumtaka Kaburu na nahodha wa Club hiyo Juma kaseja...
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania limeteua wadau 10 kwa ajili ya kusaidia timu ya taifa ya vijana walio na umri chini ya miaka 17, Serengeti Boys itakayopambana na Congo (Brazaville) katika...
wakuu wanajamvi nilikuwa naomba kufahamishwa juu ya hili la sport beatting mashine zile za bahati nasim je umiliki wake ukoje na huwa kuna kuwa na vigezo au sheria zipi ili uweze kuimiliki. Na je...
So I'm watching the OKC/Bulls game and Thabeet is doing his thing and he is got this orange patch in his hair. He goes down injured and while the announcers are discussing what is going on and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.