Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
wakuu mechi ndo hiyo soon itaanza. mlio uwanjani kumbukeni kuchangia furaha yenu hapa ili tulioko mashambani tufaidike. UPDATES: Dakika ya 30: Simba 0 - 0 Ahli Shandy Dakika ya 38: Simba 0 - 0...
9 Reactions
158 Replies
17K Views
naona jamaa kaanza kugain confidence na sasa ameanza kuzifumania nyavu mfululizo. Hongera chelsea kwa ushindi mnono. Hongera Torres
0 Reactions
0 Replies
756 Views
wakuu kama kuna mtu ameliona lile tangazo kua and 1 wanakuja bongo, sasa wameandika saa 10 mchana, mi cjaelewa ni saa 10 am au pm? kwa anaejua tafadhali
0 Reactions
0 Replies
894 Views
Wakuu kwa wale watakao kua PTA mutujuze nani atatoka na mkanda wa IBF na Mkoko wa milioni nane leo Nawasilisha
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Habari za hivi punde kutoka tff zinasema kwamba waamuzi wa mechi ya Azam na Mtibwa iliyovunjika wameondolewa kwenye list ya waamuzi wa tff.Lakini pia kamati ya nidhamu imeipa Azam point3 na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Pep Guardiola is understood to be on the brink of ending his tenure as manager of Barcelona after telling the club he cannot carry on. The 41-year-old Catalan will announce his intentions at a...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Duh huu ukweli lakini unashangaza sana hahaha!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natazama hii game, mpaka sasa ni Wigan 4 na NewCastle 0....Half time Nashangaa kitu kimoja..hivi hii inamaanisha premier league ni ligi bora kwa maana ya ushindani na kwa hivyo matokeo...
0 Reactions
0 Replies
837 Views
WANAJF; Tunaomba wale walioko Taifa watupe updates za mechi kati ya Simba na Wasudani. TELO.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Sababu siskii clouds wakipromote mechi ya simba na al ahl shandy.Nashangaa maana hawa jamaa ni marafiki wakuzikana iweje leo wanatosana au simba "wameshtuka"?!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Rais wa Fc Barcelona amemtaja msaidizi wa Kocha Pep Guardiola Barca, Tito Vilanova ndiye atayeshika nafasi ya Guardiola. Source. www.fcbarcelona.com
0 Reactions
18 Replies
2K Views
baada ya barca kutolewa majuzi,watu wengi hasa wale mashabiki wa mkono wa kushoto walidai wamefulia.sasa jana mungu co JK na madrid pia wametolewa ktk kipute cha mabingwa ulaya.sasa je nayo madrid...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Fuatilia jawabu hadi filimbi ya mwisho. Mimi ninabaki na Real Madrid (at least that's my hope but the winner will be the one who have guts).
0 Reactions
409 Replies
20K Views
Pep Guardiola will stand down as Barcelona manager at the end of the season after deciding not to renew his rolling one-year contract.The 41-year-old, who was appointed in 2008 and has led the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KAMA AMBAVYO HAIKUTABIRIWA KUWA CHELSEA NA BUYERN WANGEFIKA FAINALI, VIVYO HIVYO HAIJATABIRIWA KUWA CHELSEA ATANYAKUA KOMBE. LAKINI UKITIZAMA TIMU NNE ZILIZOINGIA NUSUFAINALI UTAONA KWAMBA KATIKA...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
The untouchable Barca and Real Madrid were eliminated from Champions League, but the modest teams, Atlético de Madrid and Athletic de Bilbao are in the finals of the European League. What an irony!
1 Reactions
0 Replies
796 Views
Wamepoteza michezo mitatu iliyopita.... Wameondolewa kwenye UEFA champions league... Wamezidiwa Point nyingi na dalali za kuvuliwa ubingwa wa la liga ni dhahiri... JE HUU NDIO MWISHO WA BARCELONA??
0 Reactions
63 Replies
6K Views
Felix Sunzu Personal information Full name Felix Mumba Sunzu Date of birth 2 May 1989 (age 22) Place of birth Chingola, Zambia Height 1.73 m (5 ft 8 in)...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Mpaka usawa huu bingwa yeyote atakayepatikana(kati ya Simba na Azam) kwa mtazamo wangu atakuwa hajapatikana kwa haki,ni miapango tu tena ya nje ya uwanja. Wakati kina Mwasyika walipomtandika ngumi...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamaa kakalia kuti kavu, anadai anatak kuondoka
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom