kwa tetesi nilizozipata hivi punde,ile rufaa ya yanga ya kupinga kupokwa point3 imepigwa chini leo na kamati ya rufaa ya tff chini ya kamanda Tibaigana,ikiwa na maana kwamba yale maamuzi ya...
Hayo yalitokea wiki hii pale mtangazaji wa clouds,aka Simba tv alipojipendekeza kwenye kikao cha waandishi wa habari kwenye jengo la klabu ya YANGA.....very nice nawapongeza wanachama wa Yanga kwa...
Fantastic run in Karatu last week end at the Tigo Ngorongoro half marathon, with Fabian Joseph and Jacqueline Sakilu emerging tops... Olympic hopeful Fabian has every possibility of bringing...
Kwa wale mliombali na TV basi unaweza kuangalia live streaming kwenye hii link
http://www.atdhenet.tv/46113/watch-bayern-munich-vs-real-madrid
Kwa mlio bongo nakushaurini muangalie tv hii link...
Semi final za UEFA - Nani ataibuka mshindi hapa.
Mimi ninabaki na R. Madrid ingawaje hawa ni maadui wa jadi, lolote linaweza kutokea.
Na pia tusisahau kuwa Real haina hisoria kubwa ya kuwashinda...
Namcheki maximo wetu kocha wa wa timu ya taifa wa zamani hapa TBC, akinadi sera zake za kuanzishwa kwa vilabu vya watoto.....huyu jamaa wadau vp kuna umuhimu wa kuwa naye tena???
MAXIMO AMSHAURI RAIS KIKWETE JINSI YA KUPATA MAFANIKIO KATIKA SOKA
Kocha wa zamani wa Taifa Stars Marcio Maximo akimsalimu mke wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete...
Akiwa ziarini nchini Brazil Rais J.M Kikwete amekutana na aliyekuwa kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania.Marcio Maximo.
Maximo alichukua fursa hiyo kwa kushauri vilabu vya soka Tanzania lazima...
Kwa hali inaavyoonekana baada ya ushindi wa kishindo, kwa mara nyingine tena timu mbili za Barca na Real M zitaendelea kushinda na kutawala La Liga,hivyo kupunguza mvuto maana haina ushindanizaidi...
Bolton midfielder Fabrice Muamba has paid tribute to the London Chest Hospital staff after being discharged.
The 24-year-old was technically "dead" for 78 minutes after suffering a cardiac...
Jamani kwa wale wenzangu wa EPL,LAL LIGA, CHAMPIONS LEAGUE NA EUROPEAN FOOTBALL kwa ujumla, nimesikia kuna sports lounge ya kisasa imefunguliwa maeneo ya Posta Mpya..mwenye details kamili...
hii nimeipata toka kwa baadhi ya wahafidhina wa kisiasa wanaojipanua na alama ya vema, wanadai hawawezi kuipigia promo chani kiwiti. kama kuna ukweli wowote yeyote anaweza tupia hapa.
REFA aliyechezesha mechi ya Azam amedudwa hadi kulazwa hospitali kutokana na Kuibeba AZAM! inasemekana refa huyo alikuwa akisubiliwa na mashabiki KWA HAMU ili wamdunde lakin baada ya mpira kwisha...
MCHEZAJI WA SERIE B NCHINI ITALY AMEFARIKI DUNIA BAADA YA KUANGUKA UWANJANI KWA KILE KINACHOSADIKIWA KUWA NI "CARDIAC ARREST"
Piermario Morosini aliyekuwa akiichezea Livorno amefariki baadae ya...
Tukiwa tunaelekea ule wakati ambao binafsi nauita ni peak ya michuano ya UCL, napenda kuwakumbusheni nusu fainali kali zaidi ambazo nimewahi kuziona live katika miaka ya karibuni. Hii ni kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.