JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Heshima zenu wakuu. Hope mko po. Kuna kawimbo fulani nausaka sasa nimesahau jina la aliyeimba. Some lines in it zinasema "naomba unisamehe, kosa nililofanya. Hakika mi binadamu, kokosea...
0 Reactions
36 Replies
10K Views
بيبدأ المؤلف بالطلب من السيد&#1577...
5 Reactions
42 Replies
3K Views
Wapo wapi Malaria Sugu na Joka la Mdimu, tumewamiss sana humu JF
0 Reactions
0 Replies
716 Views
On the radio the other day, there was one of the all-time best comeback lines ever. Note: This is an exact replication of National Public Radio (NPR) interview between a female broadcaster and US...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habazi zenu ndugu wa jf mambo vipi mko poa kila la heri
0 Reactions
7 Replies
876 Views
Utasikia @cillo na Boflo wakiitana darling, dear, hubby nk. Tena hapohapo utasikia Nazjaz, @charminglady na AshaDii wakimgombea MziziMkavu. Yaani mapenzi ya humu ni full vagalanti kiasi kwamba...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Jamani vibaka wamezidi sana huku uswahilini kwetu hadi imekuwa kero. Wanaiba sana, kila siku ni matukio ya wizi wa kukata nyavu za madirisha usiku. Juzi wameniibia tena kwa mara ya tatu sasa leo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
internet ya bure 24x7 hadi chumbani lakini saa hizi MB50 za voda zinataka kukata sijui kama hii thread ntapost siku nikichoka au nikiamka na ma hangover sizami class lakini huku chezeya bosi uone...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
This thread is closed! Nimeongia chit chat sikujua tittle imeshakaa na Siwezi kufuta bila msaada wa mods! Ousofia kalewa,thread closed! Au acheni tu sridi itelezi ingiine ndani ya sridi...
0 Reactions
13 Replies
996 Views
ili wimbo unoge unahitaji kiitikio, kuna viitikio vya aina nyingi vya kuchekesha kuhuzunisha, tata na vingine vinakwaza kuna hiki hapa cha fm academia ...utamu wa vanila eeh utamu...! Kinaniacha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
jamaa mmaja alivua nguo zote akaanza kkatza porin wanyama wote wakkmbia fis akamuliza simba had ww umekmbia smba akjbu yule mnyama n wa ajab anamkia mbele...........:israel:
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mpaka mh. Ruhazwe JR a.k.a ANKO LUNDENGA aje, tuendelee kulisongesha...Tuanze hatua za awali za mapendekezo ambapo unaruhusiwa kupendekeza majina matatu then unakaa pembeni. ANKO karocharocha...
0 Reactions
52 Replies
3K Views
Nitajie jina la muigiza wa bongo movie jina lake nikifaa kinacho2mika jikoni na jina lake hlo hlo ni xehemu maharufu wanapokaa matajiri..!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Closed
Wakuu,nina bonge la stress,na miongoni mwa njia kuu za kumaliza stress ni kutukana. Natamani sana kutukana,hivyo yeyote atakaye changia hii thread namporomoshea matusi.
0 Reactions
54 Replies
3K Views
Habari zenu watz wenzangu natumaihamjambo na mnaliendeleza libeneke kama kawa huko mliko,binafsi nilikuwa naumwa ila kwa sasa niko bomba.Nalog off
0 Reactions
36 Replies
2K Views
Jamani wana jf hapana shaka mu wazima sana! Nakumbuka kama miezi miwili au mitatu iliyopita huyu mwana jf mwenzetu aliwahi kuleta wazo la members kuweza kukutana walau hata mara moja kwa mwaka...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Jamaa kasimamishwa na trafiki yuko hai spidi mwanawani. Sasa ona maongezi: Trafiki: Unajua kuendesha kasi kiasi hicho ni kosa la jinai? Jamaa: Najua lakini wala sijali, kwani we unatakaje...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kutokana na baadhi ya members kuwa na IDs ambazo ni unisex, naomba uweke hapa jinsia yako ili hii tabia ya ku-approach mwanaume mwenzako ife. Nadhani members mtalielewa hili nami naanza kwa kusema...
7 Reactions
129 Replies
9K Views
Eee Baba yetu uliye mahali pa juu palipoinuka, Ninakuja mbele zako kwa moyo wa ukunjufu, ninaukaribisha uwepo wako mahali hapa,ninakaribisha upendo wako mkuu utamalaki katika jukwaa hili, ninaomba...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Mfalme mmoja alitoa zoez kwa atakae vuka mto wenye mamba atamzawadia/atamuozesha bintie wa kike kabla hajamalizia kutangaza ghafla mmoja akaingia majini akaogelea fasta hadi akavuka alipo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom