JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
...tukaribishane...tuoneshane maeneo yetu ya kujidai... Mbeya ni mgeni kabsaaaaaaaaaa....
0 Reactions
6 Replies
1K Views
madadali ni watu muhimu kwenye jamii ni kweli kwamba huwezi pata nyumba hapa mjini bila kupitia wao, au labda itokee bahati tu rafiki/ndugu yako anahama mahali akuunganishie, la sivyo utasaga meno...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mwalimu sanaa aliagiza wanafunzi wake watumie maboksi waunde tv. Basi wanafunzi wote wakajitahidi wakafanya ivo.Ila wakati wa kukagua mwanafunzi mmoja wanaopnda kumtania sharobalo haku angaika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
naona kipindi cha kuchukua degree zetu kimewadia na mi mwaka huu ndio nachukua yangu so tunao graduate pamoja jitokezeni tuchukue zawadi na hongera zetu
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Husband was seriously ill. Doc to wife;''Give him health breakfast,be pleasant,and in a good mood, dont discus ur problems,no tv serial, dont demand new clothes&jewerls. Do this,after a year,and...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna siku PAPA Benedikto alikwenda kufanya shopingi, akamwambia dereva wake, "Leo nitaendesha gari mimi mwenyewe na hakuna msafara, wewe kaa siti yangu". Basi walipofika barabarani trafiki...
0 Reactions
0 Replies
744 Views
asee hii kitu ni balaa naitaka sana . nipeni kwanza details za ku activate account naitaka hii hapa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
my dears nimebanwa na eu yani nataman kukimbia but mewamis saana hasa my beib judgement kwanza im sorry for any inconvinience has happened where ever u are pliiiz say something. N nimewamisin...
0 Reactions
126 Replies
6K Views
ZIFUATAZO NI ADHABU ZITOLEWAZO KWA UVUNJAJI WA SHERIA ZA CHAMA CHA WANYWAJI POMBE:- 1. Kosa la kumtoroka mlevi mwenzako kwenye Bat- Jela miezi tisa. 2. Kuacha kunywa pombe na fedha unazo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
{BINTI};Baba,"mimi nimempenda huyu mlinzi wetu hivyo nimeamua kutoroka naye ili tukaoane". {BABA};Kwenda zako huko,unafikiri nitasikitika,kwanza bora uondoke zako kwa sababu nimechoshwa na kashfa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
What would you do?
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nakupongeza kwa kufikia tena tarehe ya siku ulio zaliwa. Mungu akujalie maisha maleeeefu yenye furaha tele. Mungu wangu akubariki mpaka ushangae.Happy birthday william malecela. Mia
0 Reactions
5 Replies
1K Views
eti jamani wadau, ni ndoto gani ambayo hutaisahau? mi nakumbuka nikiwa form 2, niliota sista angu anapika nikaenda jikoni kumuangalia nikakuta kapika dagaa wazuri sana, walikuwa wa kukaangwa...
0 Reactions
45 Replies
8K Views
Jaji alihukumu wezi wawili wa matunda akasema kila mwizi wa matunda aingizwe kwenye TIGO tunda aliloiba. Jamaa 1 alliba tango, akaingizwa lote huku akiwa anacheka mwanzo hadi mwisho. Jaji...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Story hii ni joke ya ukweli. Mchaga walikuwa wakipiga story za mademu na msambaa. Ikaenda hivi: Msambaa: We mangi skiza, jana nlikuwa na demu angu si nkampiga denda mpaka akalegea afu...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu hii imekuwa dream kwangu napenda kuwa mod ushauri tafadhali
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Mdada wa kidhungu akikamua BONGO-FLAVA.... Anawaomba TANESCO wasikate umeme usiku sababu mpenzi wake atakuja jioni hivyo atashindwa sikiliza radio/muziki na mpenzi wake..
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Jamani mwenzenu badala ya kitambi kupungua ndio kwanza ,inaongezeka, je ni wapi nilipokosea?
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Kwa wale tunaofuatilia hii show, Jana mtanzania mwingine Iman Lisu aliyaaga mashindano. Tusubirie leo nini mtanzania pekee aliyebaki Damian Mihayo ataonesha,show itakuwa live citizen tv na star...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Kutokana na mmoja wa wabunge wetu kufumaniwa kule singapore (singida) na kutaka kugeuzwa mshikaki na mgoni wake na kucharangwa kidogo na sime, tutarajie maneno gani kutoka katika bunge letu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom