JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
ni kweli magari yanaturahisishia shughuli zetu ila na maumbo yetu tuyatatendee haki!nimepishana na raia mmoja mwenye umbo mithili ya kapteni john komba ndani ya duet!!!dah......huu ni ubakaji wa...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Leo kwenye kipindi cha PB na G. Hando, ile story ya JF imesimuliwa na gwiji la Muziki Mrisho Mpoto, naona jamaa kaichukua kama ilivyo toka JF. Inahusu yule bibi aliyechezea nyeti za mkurugenzi wa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
ni mtu wa aina gani? je ni yule asiye na mali? je ni asiye na marafiki? Au ni yule anayetia huruma unakuta mtu ameona mwenzake kakoswa na gar barabarani anapayuka masikini yule...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Golden Mpoleee alikua na nia ya kuwasimamia wananchi waweze kupata haki zao ili walau maisha bora yawe kwa kila mtanzania. ubunge mgumu ndg zang. siasa wametawala wanaume tu huko juu na wanawake...
1 Reactions
186 Replies
9K Views
Waamerika wawili,Peter Murphy na John Cogan walikuwa wanafanya kazi ya kujitolea mkoani Iringa katika idara ya misitu.Walipewa nyumba moja ya kuishi wote wawili, na baada ya muda wakaamua...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwenzenu kila nikiona Avatar yake natabasamu Nikiingia kitu cha kwanza lazima nimuangalie kama yuko online.. Nikivuta post zako kuview naridhika tu Hatajwi popote lakini anaonekana ni mpole sana...
11 Reactions
247 Replies
15K Views
wapo wazinifu 5 ambao waliamua kumrudia muumba wao na kuyaacha ya kale. siku moja walipokutana kila mmoja wao alimtambia mwenzie " yaani nyie acheni tu mimi nilikuwa muovu katika uzinzi kuliko...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamaa mmoja wa Mtwara alikwenda Nchini msumbiji kutafuta dawa ili amkomeshe jirani yake ambaye alikuwa na tabia ya kufanya mapenzi na mkewe. Alifanikiwa kupata dawa hiyo na kugeuzwa Simba ili...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kiingereza kigumu kuna mtu alitaka kumsifia Mzungu akaropoka:- you're hippopotamus! (wewe ni kiboko)
1 Reactions
12 Replies
2K Views
A Nigerian mum says after receiving news that her teen daughter is pregnant, "chineeeke, my daughter u have killed me oooo, i told u if a man touches ur breast say 'DON'T' and if he touches ur...
1 Reactions
4 Replies
973 Views
Just for Laughs Juzi Kibaki,Moi &Raila were kidnaped. They were taken 2 a town they dint knw. Kila mtu akaambiwa' aende anunue matunda 10 ama auliwe. Moi alikuwa wa 1st kufika na machungwa 10...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu warembo wote wa jamii forums, kwa muda mrefu nimekutana na hili jambo, kama mnavyojua mjini usafiri shida hasa mida ya kwenda vibaruani, so unapomsaidia mtu lifti hasa mdada unakuta...
1 Reactions
83 Replies
6K Views
Jamaa mmoja mkazi wa Kihonda Kwa Mkomola aliwavunja wenzie Mbavu katika daladala. Akiwa ndani ya daladala alipigiwa simu na mgeni wake ambae alikuwa anafika Morogoro kwa mara ya kwanza. Mgeni...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Yupo katekista mmoja alikuwa mlevi sana wa pombe. Hata hivyo ulevi wake haukuwa kikwazo katika kazi zake za kuchunga kondoo wa Bwana, aliaminiwa kanisani. Jirani na kanisa analofanyia kazi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimeanzisha familia ya chit - chat. Kama unapenda kujiunga orodhesha jina lako hapa tufanye uchaguzi wa nafasi mbali mbali.
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Any one who likes this
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jogoo anapo wika asubuhi ni anawa amsha watu au kuku wenzake? Au kuna kitu kingine zaidi?
0 Reactions
27 Replies
4K Views
kulikua kuna usemi maarufu.."kukanda ngano" maana yake utakuta mtu muda wote mkono upo katika nyeti zake, anajikuna,duuh!!fangasi wanawasha jaman... hatimaye unapata kitu kinaitwa PU*BU...
0 Reactions
0 Replies
737 Views
Mfalme Mswati ameoa wanawake 19, wote aliwavunja bikra yeye mwenyewe! Nadhani wengine aliwakuta na bikra za kichina rather than natural
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Akizaa mara moja hufa?
0 Reactions
33 Replies
2K Views
Back
Top Bottom