Jamaa anamuuliza binti wa kimakonde, ati, kwa nini wamakonde hawawezi kusema Mtu na badala yake wanasema Ntu?
Binti wa kichinga ( iiiiiiiiih siiyo woote. Unajua kusema ntu, inategemea ntu na nnntu!)
Naombeni dondoo za jinsi ya kuchukua tahadhari au hatua za kuchukua
pale unapojikuta eneo ambalo risasi zinapigwa kwa karibu na ulipo mfano nyumbani au eneo la kazi
Silengi eneo lenye vita...
habari ndugu,
kuna stori nimesikia eti kwamba wasabato hawali nyama,na wanatengeneza nyama zao artificial za unga wa ngano,na flavour iko kama ya nyama,fibre kama nyama,almost kila kitu,je hiii ni...
Wakati huo nilikuwa natamani kuwa na G. Friend. Ishu ya kutongoza ilikuwa hivi:
Dada mambo? (Poa).
Siku hizi mnona hatuonani? (Nipo tu)
Ndo unaenda nyumbani? (Hapana, naenda kumwona rafiki...
Queenkami mim sio mgeni hapa Jamii Forums maana nikiwa kama guest haikosi siku bila ya mim kufika hapa na kusoma mambo mbalimbali yanayojiri hapa.
Leo imebidi nijiunge ili niweze kukueleza...
Wewe ni kijana mwenye kazi nzuri sana.Unaishi na Mkeo ambapo mungu amewajaalia kupata mtt mmoja wa kike.Siku za hivi karibuni mlitembelewa na jamaa mmoja ambaye mkeo alimtambulisha kwako kama kaka...
dah nilikuwa nimesahau jamani,leo ni birthday ya mama yangu mpendwa
namuombea kwa mungu amjalie kila lililo la kheri katika maisha haya
i wish mama upone uwe kama zamani
nakumbuka kipindi naenda...
Duh! Jamani hii hali ngumu hata pesa mfukoni haikai ada za shule! Nauli za wanaowahi mashuleni, wakunikopesha hakuna! Natamani hata kujinyonga! Aaaagh!
Hivi kwa nini ndugu zangu waislamu huwa wanachinja maiti kabla ya kuzika? Nimeuliza ninao wafahamu wakasema kuwa wanakata koo ili kama maiti alichukuliwa msukule wanamuua ili wakose wote yaani...
1. Bedball(mazoezi ya kitandani).
2. Football.
3. Handball.
4. Valleyball.
5. Basketball.
Kwa upande wangu navutiwa na Football hasa ya nchi zilizoendelea. Karibu sana kueleza ni mchezo gani...
John alimwalika rafiki yake Fred nyumbani kwake
kwa ajili ya dinner na vinywaji.
Baada ya maakuli na wakati vinywaji vinaendelea,
mkewe John (Lisa) na mgeni wao Fred walikuwa wanacheza karata...
This Student Obtained 0%: What would u have given him ?
Q1. In which battle did Napoleon die?
* his last battle
Q2. Where was the Declaration of Independence signed?
* at the bottom of the page...
Kuna masai alikutana na binti mzuri sana wa sura na umbo uzalendo ukamshinda akawa anamuuliza msichana eti we umesaliwa na mutu au imetengeneswa tu na mutu ikawa inasema apa mbado, hapa mbado...
Je wanaJF, umewahi kukutana na watu wenye wivu mkubwa wa kitu ulichonacho?Watu hawa hutumia saikolojia ya kuponda hicho kitu chako ili ujisikie vibaya na kuchukia kumbe wanaonyesha mauwivu yao...
Atttention VEGETARIANS...!!
Dear Plant Eaters....!!!
Chicken never gave us oxygen..
Chicken never gave us shade ..
Loss of chicken never caused
Global Warming ...
Thn y eat the good plants...
Mmasai alikuwa MC kwenye msiba alipopewa kipaza sauti akasalimia ' MSIBA HOYEEEE'.......MAITI SAFIIIIIIIII.....AMEPENDESA AU HAJAPENDESA..WENYE WIFU IFE KAMA HUYU LAIYONI
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.