...to all JF stakeholders. May the year 2012 be a good one to all of us which means:
1. Kiama cha mafisadi
2. Mwamko kwa Watanzania wote katika kuupinga ufisadi na kila aina ya ukandamizaji
3...
Mwaka ndio unaishilia hivyo je tumefanya nini?au je tumetimiza malengo yetu ya kimaendeleo?mimi binafsi sina furaha sana kwani sijafikia lengo nililokusudia,nimefanikisha % ndogo sana na yote hii...
enzi hizo radio tanzania, anko julius nyaisanga, sekioni kitojo, salimu mbonde, dominiki chilambo, ahmed jongo, juma ngondae, sarah dumba, abisai stivin, juma nkamia, bujaga izengo kadago...
Nilijiunga hapa mwezi wa kwanza mwaka 2011.Ndani ya mwaka mmoja nimejifunza mengi ya faida na hasara pia.Nimepata marafiki,
nimehabarishwa habari nyingi ambazo pengine nisingeweza kuzipata kupitia...
Kama ingekuwa ni mpira wa miguu, basi tungesema CDM walikosa nafasi nyingi za kufunga kuliko CCM, kibaya zaidi nyingi zilikuwa penati lakini wapigaji wakapaisha mipira au wakampasia kipa badala ya...
Heri ya mwaka mpya jamani.Naomba kujuzwa hivi kwanini saa zetu hapa nchini ikiandikwa 7 tunasema saa 1,ikiandikwa 8 tunasoma hiyo ni saa 2.Naomba kujuzwa nini kinapelekea kuwa hivyo naamini humu...
MWAKA WA MAAJABU 2011. Chukua
tarakimu mbili za mwisho za mwaka
uliozaliwa,jumlisha na umri ulionao
utapata jibu kuwa ni 111, unajua
maana ya namba hz? kama jibu
lisipokuja hlo unadanganya umri!
Wakati mwaka 2011 unaishia ..inabidi kufanya resolution za mwaka 2012...
Ningewashauri (hasa kina baba au kina baba watarajiwa)... Please tafuta muda na angalia movie... Courageous (2011) ...
Wanajf,tunapokaribia kumaliza mwaka nina swali moja tu kwenu naomba mnieleweshe maana nimebishana na mtu kweli leo na hatukufika muafaka.
Eti kati ya sherehe ya xmas na mwaka mpya ipi inaanza...
Habari za kwenu wana Chit chat, MMU na Wanasiasa, na hao wengine wachekeshaji, walalamikaji na wooooooooooooote wenye mapenzi mema na JF.
Kusema ukweli tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa...
kulikuwa na wafanyakazi wawili kwenye ofisi moja,mwanamke na mwanaume,mazungumzo yao yalikuwa hivi...
Mwanamke:ivi unajua me naweza kumfanya bosi anipe likizo hivi hivi.
Mwanaume:aah wapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.