JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hatari tupu lakini salama!
0 Reactions
9 Replies
3K Views
jaman ee wana jamv mim bhado sijaona umuhimu wa kusheherekea miaka 50 kwan inafanyika dar kila mwaka na pia wao ndo wana haki hyo. Uku Arusha kuna watu hawajui kama kuna kitu kinachoitwa miaka 50
0 Reactions
3 Replies
990 Views
Wakuu, wakazi wa maeneo ya Mnazi Moja, Kisutu, Kariakoo, leo ni fujo tu hakuna kulala CCM wanapiga mafataki sijuhi wanashangilia nini
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tunasuuuza meno. Tunanyofoa vinyweleo vya kwenye pua. Tunanyofoa nywele za kwenye kwapa. Tunaminya vipele. Tunakamua vijipu. Tunafinya misuli. Tunachekesha pua. Tunauza pilipili hoho...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nasikia kuna wana JF eti wanaogopa kuonana. Haya wana JF Tanga nakuja, ambaye haogopi kuonana na wageni basi ani PM. Niko njiani.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimekuwa nikijiuliza, ni vitu gani vinavutia katika maeneo tofauti hapa duniani. Je ni kitu gani chenye kuvutia kukiangalia na labda ukawa unatamani kwenda kukiona mara kwa mara, inaweza ikawa ni...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
hv jamani kuna ubaya mtu akiweka picha yake ya ukweli ? tuwe real jamani mimi naweka kwenye profile yangu leo sidaiwi na mtu wala simuogopi mtunimechoka kuishi kifekifeki ila mkiniona msishtuke...
6 Reactions
88 Replies
7K Views
mganga huyu kanifuraisha sana loh!
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Kama haja kubwa ni LONG CALL na haja ndogo ni SHORT CALL, then,.. Kukaa juu ya choo ni MISSED CALL. Kulenga ndani ni RECEIVED CALL. Kuendesha ni NETWORK BUSY. Watu kupangana nje ya choo ni CALL...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Ingekuwa airport tunasachiwa kwa hisia namna hii pasingetosha kabisa.....
0 Reactions
7 Replies
1K Views
wasichana tufamiane basi!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
mchina-amwaga-machozi-baada-ya-kukutana. na wenzie aliyofanya nao kazi TAZARA mwaka 1969 wakiwa kwenye maisha ya shida
0 Reactions
14 Replies
2K Views
What is an error in these calcns? a+b=c 4a-3a+4b-3b=4c-3c 4a+4b-4c=3a+3b-3c 4(a+b-c)=3(a+b-c) deviding by (a+b-c) throughout 4=3
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za mchana wakuu,natumai wote hamjambo na mnaendelea na shughuli zenu za kila leo. Jana kuna my friend wangu aliniazima gari lake ili nisafishe jina kitaani,basi kumbe kuna rafiki yangu...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Nilikuwa nimepumzika leo mchana baada ya kutoka darasani ghafla nimeota nafungua jf kwenye simu yangu nakumbana na ujumbe umeandikwa kwa rangi nyekundu ." "THIS FORUM HAVE BEEN CLOSSED" eti kwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
jaman wana jf leo ni siku ya pili kuwa humu ndan na sekunde baada ya sekunde nazid kunogewa cjui ntalog off saa ngap!
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Jamaa mmoja alikua anamfuatilia binti mmoja aliyekua akisoma sekondary,wkt wa likizo alijikokota na kwenda nyumbani kwa wazazi wa binti huyo na kumkuta baba yake ambaye alikua akiwadhibit vilivyo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Heey, members nipo hapa mjini kwa weekend hii. nipeni jiografia na taarifa za kiinterijensia kidogo! Nondo???
0 Reactions
17 Replies
2K Views
They decide to play hide-n-seek......... Unfortunately Einstein is the one who has the den........... He is supposed to count up to 100... and then start searching..... Everyone...
0 Reactions
2 Replies
912 Views
Hadithi Hadithi.....Hapo zamani za kale alitokea mwanaume mmoja anaitwaWANANCHI WENGI, baada ya kufikia umri wa kuoa akamuoa mwanamke mmoja anaitwa CCM. Mwanamke huyo alikuwa mzuri na mrembo sana...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Back
Top Bottom