Hebu niambie ungekuwa ni wewe ungefanyaje? Ni takribani mwaka sasa hali yako kiuchumi sio nzuri kifupi umefulia vibaya,siku moja anakutembelea rafiki yako mkubwa mlioshibana,usiku akiwa amelala...
Hivi kwa nini hawa viongozi wasitumie helikopta kwa jiji la Dar es salaam kuepusha usumbufu wa foleni mfano kutoka airport hadi ikulu watumie halikopta badala ya barabara ili wananchi wengine...
John katika kipindi cha likizo alikuwa akikutana na jane tuition, kama wanafunzi walivyo John akawa anasomesha mtoto lakini jane akawa anamzungusha. Siku ya siku Jane akamkubalia John lakini mambo...
Daah..! Amini usiamini hii imetokea jana katika kipindi cha XXL cloudz fm,watangazaji walikuwa wanaulizana "LIVE ON AIR" kwamba nani aliyejamba humo studio...kweli hii ni Redio ya kipekee
kama hatajuaoana kwanini unifuatilie kiasi hicho?kila saa huniamini mpaka mi mwenyewe najiona kama nalindwa.
kwani huwezi kuniamini bila kunifuatilia?nikikuambia nakupenda kwanii usiniamini?hivi...
kuna watu wanaitana masharobalo bila kuzingatia kanuni na masharti.
so leo nmeona niwafumbue macho ili jamii isiwaache nyuma.
:mvulana ni sharobalo
:msichana ni sharomalo
je ushawahi...
Mimi nakumbuka simu yangu ya kwanza ilikuwa Nokia ndefuuu nye mbamba nayenyewe nilipewa na Boss wangu eti yeye akanunua Nokia Ringo mimi akaniachia mche wa sabuni ukubwa upana sawa ila ulefu...
Ulianza lini kupenda? Mi la tano nilimwandikia barua msichana nikamwambia ntampenda mpaka ziwa victoria likauke. Akanipeleka kwa ticha (akampa na hiyo barua). Kila mwalimu aliyekuwa anasoma hiyo...
(KIJANA);Baba,nimepata mchumba hapo mtaa wa pili,anaitwa Sandra! (BABA);Ooops,samahani kijana wangu,ila usimwambie mama yako,sandra ni dada yako,si unajua mambo ya ujana mwanangu! (KIJANA);{siku...
Siku hizi mtori unachakachuliwa sana na hawa wapishi uchwara wa kwenye mabaa.
Baa nyingine wanakuletea mtori wa mihogo, baa nyingine mtori wa magimbi, na sehemu nyingine mtori umechanganywa na...
If your wife is pregnant,that's TENSION.>>>>>>>>>>>If your girlfriend is pregnant,that's TERROR.>>>>>>>>>>>>If both of them are pregnant,that's HORROR.>>>>>>>>>>>>If you are not responsible for...
Mbwa na Paka walikuwa wanapiga stori
Mbwa>kwa nn nyie huwa mnajificha mkiwa mna "do"na dem wako?
Paka>aagh...!huwa kila tuki'do' hawa binadamu wanatuiga style zetu,ndo maana tunajifichaga...
ningekuwa jogoo jman ingekuwa raha sana,madem wangenikoma ile mbaya,popote pale ninge wa do.kwenye daladala nikikaa na demu mzuri ningejisevia tu juu ya siti,Ningeamka asubuh na mapema nawahi...
A woman's husband had been slipping in and out of a coma for several months, yet she had stayed by his bedside every single day.
One day, when he came to, he motioned for her to come...
Am a female aged 26,am a Tanzanian.Am a poet by proffession.And i love excellent so so much,i want him to be my future husband.Please friends help me by telling him that
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.