JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
http://www.worldstarhiphop.com/videos/video.php?v=wshh54KeOsLhJlM8756N
0 Reactions
2 Replies
1K Views
za jioni bhandugu? ni muda mrefu nimekuwa mteja wa huu mtandao wa tiGO, tangu enzi zile ukiwa unaitwa Mobitel na namba zao za 0811****** na tukijaza vocha kwa kutumia kadi poa zenye rangi ya njano...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kweli raha ya mchawi nikushinda, hata kama ushindi huo haukutokana na uchawi wake lakini atasema `mnaona' nyie nichezeeni tu' Lakini hata mimi nikajiuliza kama mchawi anaweza kujigeuza paka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
VYAMA vya kiraia vinavyoshughulikia mapambano dhidi ya maambukizi mapya ya Ukimwi, vimeanza kukosa kazi kutokana na uhaba wa fedha za uendeshaji, baada ya wafadhili wa nje kupunguza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Siku moja mlevi akiwa chakali alikaa siti moja na mlokole.Mlokole akamwangalia kisha akasema,"mpendwa unakwenda motoni".Mlevi alipoambiwa maneno hayo, akapayuka,"dereva nishushe,mi nilifikiri...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Umekuja mjini kwa ajili ya kushughulikia udahili wa chuo. Ndugu uliyefikia kwake anakunyima chakula, anakwambia kwake ni marufuku mgeni kuangalia tv, kusikiliza redio, kuchaji simu wala kupiga...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
1. Nunua helmet ya pikipiki 2. Nunua wigi 3. Vaa helmet 4. Vaa wigi juu ya helmet. 5. Zunguka maeneo yote ya lsanga, lwambi, Nzovye, Simike, Nonde, Ghana kwa raha zako. Ukipigwa nondo usianze...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Siku moja nilikuwa natoka musoma kwenda mwanza njiani jamaa akabanwa na mkojo akamwomba konda asimamishe gari akojoe akaambiwa pale hawaruhusiwi kusimama ni hifadhi,jamaa akavumilia huku...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hello wanaJF ninayofuraha kuwaalika katika birthday party yangu hapa nyumbani i wish niwe nanyi wadau kwani MMU makes my life very comfortable ila mazingira hayaruhusu. LOVE U ALL
0 Reactions
60 Replies
4K Views
  • Closed
Source FB katika wall ya Edward Lowasa ambaye anajulikana kwa jina la Edward Lowasa the NEXT President of United Republic of Tanzania. tarehe 13.10.2011 saa 12.59 pm amepost maneno yafuatayo...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
hizi sehemu zinanishangaza.... sehemu imeandikwa ; usitupe taka hapa....sehemu hiyo unakuta imejaa taka kibao... si ruhusa kukojoa mahali hapa....harufu ya mkojo kwa kwenda mbele usikae hapa, by...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nani anahatarisha ndoa
0 Reactions
22 Replies
2K Views
niliwahi kuulizia kwa nn watu wanashangaa mtu akinunua KY humu ndani,..ile mada ikapotea sasa cjui nimekiuka maadili...c unajua um just a senior member...naomba muongozo wenu!!
0 Reactions
26 Replies
3K Views
* It worth reading the story; Swali moja majibu kibao. * Doctor :What happened to your arm? * Rweumbiza: I broke it. Doctor: Where and How did that happen? Rweumbiza :Okey. It was a normal...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
loh sweet lady dah ni shetani tu ila nimesharudisha sitorudia tena ila kweli unafaidi loh?
0 Reactions
248 Replies
14K Views
Katika Maandiko Matakatifu, UKOMA kama ulivyo UKIMWI ulikuwa ugonjwa wa kuambukiza usio na tiba wagonjwa walitenngwa. Tusome Mambo ya Walawi 13:45-46. Mtu mwenye ukoma aliye na pigo ndani yake...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna kituko kimetokea cha kimataifa, Ndege ya KLM ilikuwa inaambaa ambaa kuutafuta uwanja wa ndege wa JNIA, Dar. walifanya mawasilianao na operator wa dar wakaambiwa wanaweza kutua bila shida...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
kwanini upate tabu loh! utoe mihela yote hiyo wakati waweza enjoy kwa namuna hii
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wakuu? Leo ni tarehe yangu ya kuzaliwa (aka birthday). Nikitazama nyuma na kuona baraka za Mungu najiskia kujazwa na furaha. nina familia yenye upendo (Mume na watoto wawili tunao walea...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Kama ungetakiwa kuchagua leo ungeishi wapi kati ya hizi sehemu mbili,na je ni kweli maisha arusha ni ghali kuliko dar,whats the future of arusha vs future of dar?
0 Reactions
92 Replies
9K Views
Back
Top Bottom