Padri amekaa katika chumba cha kuungamisha, kanisani hakuna mtu. Mara muumini mmoja akaingia, akapiga magoti upande wa pili wa meza na kufanya ishara ya msalaba akaanza kuungama.
Akisema "Padri...
Jamaa mmoja alikuwa anatembea pwani ya bahari ya Hindi..... huku anasali kimoyomoyo, akasema kwa sauti Mungu natamani unifanyie kitu kimoja.....ikasikika sauti kutoka mbinguni ikisema "Kwa kuwa...
Chadema walikuwa wanapiga makelele sana kwa cuf kukubali kuchukua umakamu wa rais zenji,narudia UMAKAMU URAIS!! Wakawatukana sana cuf na kuwaita weak! Wao wameongwa unaibu meya tu,narudia UNAIBU...
Katika zoezi linaloendelea hivi sasa,la kupiga kura ya kupitisha Bajeti,Mh.Edward Lowasa ameitwa mtoro na wabunge wenzake baada ya jina lake kuitwa na kuwa kimya,kuna mbunge akaitikia mtoro.
i wish ianzishwe data base ambayomajina ya wanawake kwa wanaume walioshindikana kuishi na waume or wake zao yawekwe ili kama ukipata mwenza ambae mnataka kufunga pingu za maisha basi unakuja...
wadau kesho siku ya ofisi, ktkt ya wiki j5.. Hebu punguzeni kuchati then tupumzike. Naitaji faraja toka kwa binti mmoja toka hapa jamvini, MMU! Hebu nichagulieni kifaa chakuendana nami (cheki avatar)!
Kuna mchaga alienda kwenye mgahawa kupata msosi wa mchana alipoulizwa aletewe chakula gani? akasema minataka machalari(ndizi) kilipoletwa akaanza kufakamia haraka avikupita hata vijiko vitatu...
1)Jamaa mmoja alikwenda hospitali akiwa anaumwa baada ya kupimwa na dokta akaambiwa anaumwa kiharusi jamaa akapata nafuu ghafla na kumpa dokta mkono akamwambia "ndo maana ninahamu sana ya kufunga...
Nigerian man called his mom from the USA .
Man : Mom, I have AIDsoo.
Mother: My son I beg, I beg I begoo, don't come back homeoo!
Man : Why mom ?
Mother: If you come back...
Katika hali isiyo ya kawaida, washindi wa ubingwa wa futbol kwa watoto wa miaka 11, wameamua kukabidhi kombe kwa washindani wao ambao kwa kauli moja wamekubali kuwa washindani wao walistahiki...
Ivi kwanini watu huo wanahangaika kuandaa sherehe kuubwa ya kuziliwa afu hawasemi wametimiza miaka mingapi?
Hofu yao ipo wapi? kama unaogopa kuonekana kikongwe, kwanini ufanye sherehe?
Ivi kama...
Jamani wana jamvi habari za asubuhi?
natumaini hamjambo na mnaendeleza taifa ili tufikie miaka 100 ya uhuru tukiwa angalau mgao wa umeme umepungua ama kufikia siku 2 kwa week ama mwezi.
Leo...
Mwalimu aliingia darasa la 3 na kuwataka wanafunzi wachore mti una ndege amekaa juu na akawapa muda wa dkk 10, zilipotimia dkk 10 mwl akapiga makofi kuashiria muda umekwisha, akazunguka kuangalia...
HOME INTERNAL MEMO
FROM: Father
TO: ALL DEPENDANTS AND RELATIVES
CC: MOTHER
BCC: Girl friend
SUBJECT: FINANCIAL MELTDOWN/COST
CUTTING MEASURES FOR YOUR URGENT
ATTENTION.
1. Due to...
Sijui kama hii imeshakuja hapa. Ikiwa tayari puuza.
Mama Sara ana watoto wanne wanne wote wasichana: Mnana, Mnene, Mnini na ....... (Taja jina la msichana wa nne).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.