JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
jamani me nimekua mnene sana mpk hate ma self,shape ya udada yapotea,nimekua na kitambi sn ht kuvaa magauni nashndwa help me out
0 Reactions
1 Replies
929 Views
Nyege-zi Bu-hongwa Senge-rema Busu-ruga Em yatajeni mengine wale mnayajua mengi. manake yananishangaza
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Mheshimiwa Rais, mimi ni mpiga kura wako ambaye nimekuwa sifurahishwi na maneno yanayoanza kuzoeleka sasa kama misamiati sahihi ya kuwapa matumaini yasiyokuwepo ama kwa sababu hamna utashi wa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
tamko la serikali "tutaendelea na utaratibu wa kukata umeme nchi nzima mpaka tutakapoheshimiana,na kutambua nani mkubwa na nani mdogo katika nchi hii,mpaka mtakapowataja woote walioshusha...
2 Reactions
0 Replies
957 Views
Ni kweli Bro, hawa warombo wamepitiliza bana. Hebu cheki kisa hiki cha kweli kilichotokea US; Bill Gates organized an enormous session to recruit a new Chairman for Microsoft Europe. 5000...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Siku moja tu baada ya harusi yao, mke akagundua kuwa mume wake ni kikojozi. Akamvumilia mpaka wakamaliza wiki moja. Siku moja mke akamwambia. "Mume wangu, majirani wanaona kila siku tunaanika...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
CCM . . . . Acheni kufanya siasa za kuwashambulia chadema kwani mnawaongezea umaarufu. Kumbukeni jambo moja kwamba nchi maskini kama Tanzania matatizo ni mengi sana na karibu yoote ni rahisi sana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ukilia, nani atalisimamia taifa? Paschally Mayega RAIS wangu moto wanaokwenda nao CHADEMA huko mikoani hivi sasa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Talk of stress! Level of stress: you give a lift to a beautiful girl, she faints inside your car and you take her to hospital. Now that's stressful. But at the hospital , they say she is...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tulianza kama utanituu,safari hii tuikuwa Kitandani! Nikiimgeuzia huku yumo,nikibadili mchezo, yumo nikaona duh! imekula kwangu leo. Nikampa viwili kwanza fasta fasta kisha nikamuuliza"una...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Siku moja kijana mmoja alikamatwa akiiba nguo ambazo zilikuwa zimeianikwa kwenye kamba mtaa fulani maeneo ya Kinondoni Dar es Salaam. Ilikuwa kama saa sita na nusu hivi usiku. Baada ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habare wanathnker! Ninaomba mnisaidie na kama kunawanasayansi wanielimishe kwanini KISAMVU HAKIIVI KIKIKATWA KATWA KAMA KABICHI MPAKA KITWANGWE (hata ukitumia kuni meli 20)eti wanajamii inakuwaje...
0 Reactions
0 Replies
992 Views
Mshikaji alikuwa anaendesha punda. Siku moja alimuuliza rafiki yake, "kwa nini gari zinaenda mbio?" akamjibu "zinatumia mafuta". Siku ya pili akaenda sheli na punda wake. Alipofika akamnyanyua...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
A nice, calm and respectable lady went into the pharmacy, right up to the pharmacist, looked straight into his eyes and said, "I would like to buy some cyanide. "The pharmacist asked, "Why in...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Guess what, I am among the three candidates shortlisted to take DSK's position. It's me, Gordon Beown and another Germany guy. Please my fello JF members put your prayers on me. IF God wishes...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ukifuatilia tv kuna tangazo moja la kondom. Jamaa kaenda umasaini kuposa. Sharti ikawa ajue kuruka kimasai. Mara ya tatu kuruka akadondosha kondom. Sasa pale binti anapomcheki jamaa kwa nishai...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Nimepokea matokeo ya Mtoto wangu anayesoma St Maendeleo Academy. Nimeona ni wawekee matokeo yake wadau naomba ushauri nimfanyaje huyu kijana?
0 Reactions
57 Replies
5K Views
1. Unawasalimia watu usiowajuwa na kutaka urafiki na kila anayetaka kuzungumza na wewe, halafu unaanza kumwita mtu huyo (usiyemjuwa undani wake wala tabia zake)aunt au anco!. 2. Asilimia 90 ya...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Jaman huyu dada anayeitwa miss judith huwa namzimia sn hasa anapochangia mada humu jf,huwa c mtu wa kukurupuka na anawasilisha vilivyo binafs huwa anaukonga moyo wangu!miss judith upooo...?
0 Reactions
107 Replies
8K Views
Back
Top Bottom