Introduction
Haya matokeo ya Mpira yameniuma balaa. Liverpool kapigwa. Yanga holaaaaa. Tuachane na hilo, turudi kwenye mada.
Scenario
Ngoja niongee kwa mifano halisi ili uweze kunielewa. Mimi kwa...
Sarafu ya Tanzania yaani Shilingi ni Kato ya Sarafu Dhaifu zaidi hapa Afrika ikishika namba Saba.
Licha ya Tanzania kuwa miongoni Nchi Zenye uchumi imara na mkubwa hapa Afrika ila haijasaidia...
Waheshimiwa
Kuna jambo moja ambalo watu wengi wamekua wanalikosea bila kujua. Kwa maoni yangu ni muhimu kuelewa tofauti kati ya business na investments. Ni muhimu kuzingatia suala la return on...
Habarini wakuu Mimi ni kijana wa miaka 23 lengo la Uzi huu ni kuomba msaada jinsi ya kuanzisha biashara ya playstation.
Nina plani za kuanzisha biashara hii baada ya kumaliza masomo yangu ya...
WADAU WA UONGEZAJI THAMANI MADINI WAITIKIA WITO WA SERIKALI KUWEKEZA KWENYE VIWANDA VYA UCHENJUAJI MADINI NCHINI
-Waziri Mavunde akutana na Kampuni ya MAST na AKMENITE
-_Viwanda vya Uchenjuaji...
Habari wana JF,
Natafuta duka la dawa linalo uzwa
Ambalo lina kila kitu.
Location iwe center kidogo ambapo kuna mzunguko wa biashara.
Mkoa ni Mbeya pamoja na Songwe.
Mawasiliano;0757915171
Salaam wakuu!
Sisi sote ni watanganyika na wazanzibari tunaoishi kwa kupendana kwa kudumisha udugu wetu.
Naomba mwenye sample ya andiko la mrad wowote anisaidie.
Kama mtanganyika nahitaji...
Habari za hapa waungwana naombeni niongezeeni maarifa ya uendeshaji mzuri wa kibiashara case study ni hizi biashara zangu.
Nina jamaangu muaminifu sana kwenye maisha na ni mzawa wa hapa nilipo...
Wakuu ni matumaini yangu kuwa hamjambo, nimeamua kuingia kwenye jukwaa hili nikiamini ya kwamba nitasaidia kimawazo.
Katika harakati za kutafuta maisha nilifanikiwa kusajili na kufungua kampuni...
Habari za humu ndugu zangu, mm ni yule yule ndugu yenu wa kuishia LA7,
Leo nimekuja na plani ya kuisaka milioni zaidi ya 2 ndani ya miezi 18
Ukweli mimi toka nizaliwe pesa yangu cash...
Habari maswahiba, sio jambo baya tukipeana mawili matatu kwenye fursa na ujuzi wa biashara ili endapo mmmoja wetu atahitaji kufanya biashara hiyo awe na mwanga kidogo.
twende moja kwa moja kwenye...
Ukiwa unalipwa 400k na huna familia, yan home alone
Mchanganuo pendekezi huu hapa
Utanishukuru baadae
100,000 Akiba (weka utt)
40,000 Sadaka
80,000 Kodi ya nyumba
80,000 chakula
50,000 usafiri...
Kuna fulsa nimeiona Oman, ya Chakula, Mbogamboga na Matunda, nafikilia kuanza kupeleka bidhaa tajwa hapo juu kila week, kwa kuanzia ntakua nasafirisha Tani 1 kila week.
Kama unafanya kazi kwenye...
Hello wanabodi.
Elimu yangu ni diploma (Mass cim&IT)
Mkazi wa Dar es salaam Natafuta kazi ya marketing au sales au kuwa wakala wa bidhaa au huduma.
Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 12 kwenye mambo...
Mimi kijana wa miaka 35. Natafuta kazi, short term au long term. Nina elimu ya chuo kikuu na experience kwenye sales, marketing na project management. Kwa Sasa Sina kazi lakini niko tayari kufanya...
Umenunua kiwanja ukaanza kujenga nyumba from scraatch kwa milioni 100 unakuja kukodisha kwa laki 2 na nusu, hicho kiasi ni ngumu kukupigisha hatua, ni pesa itayokuwa inaishia kwenye bills za...
Hello, habari wana jamvi.
Nina ndoto ya kufanya biashara ya kuagiza ama kwenda kununua mzigo China hususan simu na vifaa vya simu.
Naomba kujua na kupata ushauri wenu, nahitaji;
1. Mtaji kiasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.