Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Nikiwa kama muajiriwa wa serikali naomba kufahamu ni taasisi gani ya kifendha inatoa mikopo ya pesa isiyokuwa na RIBA kwa watumishi wa Serikali? Mwenye kufahamu naomba anifahamishe jinsi gani...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Kama thread inavojionesha ! Kama tunavojua ,sisi sote ni ndugu!! Basi naomba tusaidiane kwa hili!! Ndoto yangu ni kufanya kazi chini ya kampuni langu, ndiyo furaha nayoiwazia saana saana kwani...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Kama kichwa kinavosema wakuu Nahitaji mtu anaweza akawekeza Kwenye hili wazo la biashara.WAZO LENYEWE LIPO HIVI👇👇👇👇👇👇👇 Lengo kubwa nikuwasaidia wauza migahawa kuendesha biashara zao hata kama...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika utafiti wangu mdogo nikiwa field, nimegundua watu wengi wanapenda mafanikio, kwa kutegemea mwingine ndio amletee mafanikio. Mfano, mtu atataka afanye biashara ya samaki; atakachofanya...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Naomba kujua wapi naweza pata mifuko hiyo kwa bei ya jumla kuanzia pic 1000. Aina kama inavyo onekana kwenye picha, kwa Dar es salaam, wapi inazalishwa au kuuzwa jumla.Asanteni...
1 Reactions
34 Replies
19K Views
Ndo maana wafanya biashara hawataacha kutafta njia mbadala za kukwepa kodi Ni bora wengi wakalipa kuliko wengi wazikwepe
1 Reactions
10 Replies
751 Views
I know this young man aged 44 for more than 25 years.He started his career as a radio technician around Magomeni areas in Dar es Salaam region. He is close friend to famous fellow radio...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu habari. Baada ya kutoka nduki kwenye biashara ya mchele ndugu yenu wa damu Leo nimekuja na habari mpya ambayo itamgusa kila mmoja wenu hapa jukwani kwahiyo jitahidini kwakweli. Simnajua...
1 Reactions
4 Replies
923 Views
eti, kodi mpaka one mil per month? na faida mnapata kabisa. Hebu tupeni siri za mafanikio! Je net profit kwa siku inaweza fika laki 1 kwa mtu anaelipa kodi kubwa hivyo? maana sijawahi kusikia...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Sote tunapenda/tunataka kuwapa wasia wanetu katika safari ya maisha Yao namna ya kuishi na kufikia malengo, hii ni moja ya mambo muhimu ambayo by any price each should deliver it to the loved...
12 Reactions
12 Replies
3K Views
Wana jamvi Najua kabisa saivi tatizo kubwa kwa vijana sio mtaji bali ni wazo zuri la biashara , biashara gani anaweza kuifanya ikampa mafanikio mazuri na akaweza kuendesha maisha yake Kama jibu...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuhusu Chita, Mlimba, Turiani, Mngeta, Mbingu, n.k mkoani Morogoro Habari wapendwa na poleni kwa majukumu ya kila siku! Baada ya salam niende kwenye jambo husika. Kuhusu hayo maeneo tajwa hapo...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Nchi yetu watu wanaotupenda hatuwajui na watu wanaotuchukia hawatufahamu Thread in a nutshell[emoji993]
6 Reactions
52 Replies
5K Views
Katika Karne hii kumeibuka kampuni nying Sana za Uwekezaji mtandaon,Zipo zilizodumu kwa mda mfup Kisha zikapotea mfano D09 Club&Amazon traders, lkn pia Kuna nyingine bado znaendelea kuwepo , apa...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari zenu, naomba mwenye idea ya Day care anisaidie ukitaka kufungua day care unatakiwa uwe na vigezo gani na nini kinahitajika ili umiliki Day care na unatakiwa kuanza na watoto wangapi?
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari wanajf. Nimeona nianzishe uzi huu ili kusaidia kuanika vitu feki. Karibu. Hivi karibuni nilinunua kimashine cha kukatia chips. Ni fake na hakifai
14 Reactions
143 Replies
26K Views
Tanzania ili uitwe milionea unatakiwa kuwa na pesa kuanzia kiasi gani?
4 Reactions
28 Replies
7K Views
Mwaka 2019 nilipata changamoto ya kazi na nikakaa bila ajira kwa mwaka hivi had 2020. Now niko kazin ila kazi hainilipi kama ile ya mwanzo. Kipind kile niko benchi niliwaza na kuandika mirad...
3 Reactions
29 Replies
7K Views
Ndugu zangu habari Nahitaji mkopo wa 5million wa haraka ni micro ipi ipo vizuri kwenye masuala ya mikopo Ya haraka na haina janja janja?? Na riba zake kidogo ni nafuu?? Naombeni mawazo yenu...
1 Reactions
5 Replies
37K Views
MARGINAL RATE OF SUBSTITUTION Hii theory inaelezea tabia ya mwanadamu ambayo inaendana na ile concept ya choice making. Hii concept itakusaidia kujua kitu gani unakipenda zaidi ya kingine japo...
1 Reactions
0 Replies
560 Views
Back
Top Bottom