Habari za asubuhi wakuu.
Kwa Tsh 200,000 ninaweza kufanya biashara gani ambayo inaweza kuniingizia faida ya Tsh 10,000 kwa siku.
Mahali: Dar es Salaam.
LIPA KWA M PESA
Habari wana JF,
Naomba kuuliza laini ya LIPA kwa M PESA inauwezo wa kuchukua milioni ngapi hadi kufikia ukomo wakupokea tena miamala.
Je naweza kuitumia laini hii kama-bank...
Wanajukwaa kwanza habari za muda huu.
Aisee wazo la biashara kwangu limekua kizungumkuti nimewaza beyond the limit yaani hebu mwenye anaweza nipa wazo zuri la biashara maeneo ya Arusha ambayo...
Habari za mida waungwana?
Nilifanikiwa kufungua kampuni inayojihusisha na masuala ya uhamasishaji wa kilimo cha biashara (mazao ya biashara) kwa wananchi/wakulima, kutoa elimu juu ya uzalishaji...
Katika kuwaza waza leo nilikua nakunywa maji yangu ya Kilimanjaro madogo ya 500ml wakati nimekaa zangu ofisini hapa sina kazi nikawa nimeishika hii chupa naisoma naipembua sioni utofauti wa...
MSAADA TAFADHALI Samahani waungwana naomba kwa anayejua ule mfumo unaomwezesha mfanya biashara kujaza bidhaa zinazoingia dukani na zinazotoka ili kujua biashara yake inaendeleaje hata kama yeye...
Habari wana jamii!
Nina business idea ya app ya matangazo kama KUPATANA AU JIJI , ila hii idea yangu iko tofauti kidogo na iko very niche. Nahitaji business partner 1 mwenye 2M au 2 wawili kila...
Habari wanajamvi
Niliwahi kupita hapa nikauliza juu ya biashara tajwa. Nashukuru nilipata ABC's zake.
Biashara ya Coin Betting maarufu kama 'Bonanza la Mchina'
Nilijaribu kufuatilia kampuni 1...
Habari wakuu, nimekua nikijiuliza sana kwanini utunzaji wa hela za kitanzania hasa hela za noti ni tofauti na hela zingine za kigeni mfano Dola ya Marekani.
Tangu naifahamu dola na kuitumia kwa...
MAELEZO KWA KIFUPI YA JINSI YA KUANZISHA CHUO CHA ELIMU YA UFUNDI STADI NCHINI
1 Utangulizi
Mamlaka ya Elimu na mafunzo ya ufundi stadi(VETA) ilianzishwa chini ya sheria Na.1 ya mwaka 1994 kama...
Maana ya BULK SMS:
Tunapo zungumzia Bulk Sms tunamaanisha hali ya kutuma ujumbe mmoja wa maandishi kwa watu wengi. Mfano kutuma sms moja kwa watu zaidi ya 10000 kwa wakati mmoja.
Bulk sms...
Naomba kujua kama kuna moja wa wanachama walio wekeza NICOL kwa kununua share kama walikutana na majibu niliokutana nayo katika office zao
1.kuhusunia na malipo kuwa wanalipa wanachama kwa miaka...
Habari zenu wadau wa hili jukwaa.
Mimi ni kijana ambaye nahitaj msaada wa mawazo na ushirikiano pia kwa walio tayari katika hili.nimemaliza chuo mwaka 2018 (mechanical engineering) na kupata...
Salama wakuu naomba kusaidiwa jmn anayefahamu namna gani naweza safirisha mzigo wa biashara Tanzania to Zimbabwe kwa kuutuma mzigo i mean natuma mzigo huku kuna mtu anaupokea Zimbabwe ni gari gani...
Jack ma founder and executive chairman of Alibaba Group speaking at a round table meeting organised by KEPSA and UNCTAD. Kenya Agribusiness and Agro Industry Alliance was present represented by...
Niaje wadau, ni wapi Dar panafaa kwa biashara ya ufundi tajwa hapo juu kwa mtu anaenza na hana mtaji wa kukodi frem sehemu zilizochangamka kama Kariakoo na zinginezo?
Yaani namaanisha sehemu...
Kuwa na degree au kuwa na PhD haimaanishi kuwa unaweza au unafahamu kila kitu. Kila siku kuwa mtu wa kujifunza kutoka kwa watu wanaokuzunguka kila siku.
Katika maisha yako ya kila siku hasa kwa...
Habari za muda huu wakuu......
Natumai mko vyema, naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika,
Mimi ni mtumishi wa wajamii, najihusisha na Utabibu wa binadamu....
Natamani kuwa mjasiriamali...
Youtube kuna kila kitu waweza jifunza kutengeneza mashine yeyote, waweza jifunza vitu vingi vya kukukingizia kipato. Ona hawa vijana wa Mumbai Uswahilini walioingia shindano la American GOT...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.