Habari wakuu!
Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu[emoji115]
Awamu ya kwanza!
Ilikuwa majira ya saa moja jioni ndugu yangu alinipigia simu na kuniita ofisini kwake huku...
Matumaini yangu sote tu wazima na tuenaendelea na harakati za kufanya maisha kuwa mepesi.
Wadau mimi naomba kuulizia kama kuna mtu anajua juu ya Utaratibu wa kuomba eneo la kufanyia biashara...
Wana Forum ningependa kujua kama hii Business Portal Kama bado inatumika kuombea leseni.
Nimejaribu kufanya application haitoi majibu. Nafahamu fedha nyingi imetumika kutengeneza hii portal na...
Wanabodi habari za leo!
Naomba niende kwenye mada moja kwa moja, nimelima mahindi na nikayahifadhi store maguni si mengi kama 200 hivi. Je kuna mdau yeyote anayejua bei ya kilo ni Shilingi ngapi...
Wakuu kama kichwa tajwa hapo juu kinavyosomeka, ikiwa nimeshaandaa zana zote za kuzalisha bidhaa mfano: mafuta ya kupaka.
Je, napaswa nipite wapi na wapi ili bidhaa yangu iwe halali kwa mujibu wa...
1 • Uwezo wa kushawishi na kuclose deals kwa njia ya simu.
Wakuu niseme wazi ninaclose deals nyingi sana kwakutumia simu. Unajua siku hizi mambo mengi tunafanya kwakutumia simu zetu hizi sasa...
Wakuu habari.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22. Nina wazo la muda mrefu wa kuanzisha kituo cha michezo ya video kwenye playstations.Ila kinachonipa ugumu ni mtaji wa kuanzia.
Npo sehemu...
Wasalaam wakuu?
Natumaini wote hamjambo,wale wanaoumwa Mungu atawasaidia. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kwanza namshukuru mwenyezi Mungu mtaji wangu umeongezeka hadi kufikia hapo, juzi...
Nataka kufahamu nikitaka kufanya biashara kwa kutumia Instagram. Je ni bidhaa ipi inayouza sana?
Wanasema vitu wanavyopenda wanawake ndio vina wateja sana.
Wengine wanasema watu wa maofisini...
Habari Wakuu!
Binafsi ni mtu ambaye niliathiliwa na kutokubaliwa kwa PayPal Tanzania, kwa wale wenzangu na Mimi ambao tumekua tukiuza kazi zetu online, watakubaliana nami kuwa Clients wengi...
(1) Uko dukani kwako unalala; Hii ni tabia ya wadada wengi, hawaheshimu Biashara zao kabisa. Unaingia dukani unakuta kaweka kadoro, katandika kiko chini kalala, hivi kweli kama huheshimu Biashara...
Bei ya saruji kwa siku za karibuni imepanda mpaka wananchi wamebaki kushangaa ni kwa sababu gani hali hii imetokea na juzi tu ndo tumeipigia CCM kura za kishindo. Walitaka tuwapigie kura kwanza...
Kama kichwa Cha habari hapo juu Kinavyojieleza hapo juu ni kwamba lugha imekua sio tatizo tena kwa mtu kujipatia maarifa kutoka kwenye vitabu na nakala mbalimbali. Sasa mm leo nimekuletea video...
Habari Za Miangaiko Wakuu,Mi Kijana Kutoka Dodoma Niko Na Plan Ya Kufungua Banda La Kuoneshea Mpira Na Michezo Ingine
Eneo lipo lakueka ilo banda ambalo litaweza kuchukua watu 150+ nimekuwa...
Habari mkuu.
Leo napenda share nanyi mradi simple niliouanzisha mwezi September 2020 na hadi November hii inaanza umeonesha mafanikio endelevu nikipitia hatua 3 muhimu.
Hatua 3 muhimu...
Habari za leo wakuu, natumai mu wazima na kila mtu anaendelea vizuri ktk harakati zake za biashara & ujasiriamali.
Leo ikiwa jumapili tulivu kabisa, baada ya mihangaiko ya wiki, appointments ...
Leo nimestaajabu sana yaani miezi 3 iliyopita simenti ilikuwa elfu 15,imebidi nichukue kwa kilo kadhaa leo ili nikamileshe kujengea bomba liingialo bafuni na chooni.
Salam wakuu.
Nimejikuta navutiwa kufanya hii biashara ya nyama choma (Grilled meat). kwa walio wazoefu na hii biashara naomba michango yenu kuhusu changamoto, gharama, mbinu na faida za...
Wanajamvi naomba mnisaidie kunielewesha nimenunua vitu AliExpress muda wakuvituma umepita mzigo sijapata je nazidai kwa kutumia njia gani wanirudishie
eBay pia nimenunua vitu seller amecancell je...
Salaam wanaJF
Nataman sana kujua gharama za uanzishwaji wa kiwanda kidogo cha kutengeneza mikate. Yapo mambo ya msingi ninayotaka kujua zaid.
Jambo kubwa zaidi ni gharama ya uanzishwaji wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.