Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Jaman coz ya receptionist sh ngapi? Na wapi naweza kupata elimu hiyo ktk vyuo vya hapa bongo?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau naomba kuuliza kuhusu chuo cha kampala international university kampasi ya dar es salaam kama ni chuo kizuri.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nilikuwa napendekeza kama kuna MAKAMPUNI yanatoa UFADHILI wa watu kusoma yaweke wazi APPLICATION FORM zao kwenye social network kama FACEBOOK, JAMII FORUM kama hayo makampu yakotayari, ili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habairi zenu ndugu wapendwa wa jf, Nipo mzumbe university mwaka wa kwanza,chuo tumefungua rasmi tarehe 17th oct,na wanafunzi wengi wamefika tarehe hyo na kuanza mara moja kusajiliwa lakini cha...
1 Reactions
62 Replies
9K Views
Call for scholarship applications for the Drama for Life enhances scholarship programme at University of the Witwatersrand, Johannesburg. Study Subject(s): Performing and Visual Arts Course...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Course Level: Postdoctoral Scholarship Provider: ACLS, Carnegie Corporation of New York Scholarship can be taken at: USA Eligibility: • Dissertation applicants must be doctoral candidates in...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Study Subject(s):Subject taught in university Course Level:PhD Scholarship Provider: Danida and is co-funded by the participating universities Scholarship can be taken at: Ghana, Tanzania and...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Bachelor’s or Master’s Scholarship for students at Lund University, Sweden 2012 Course Level: Bachelor’s or Master’s Scholarship Provider: Lund University Scholarship can be taken at: Sweden...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu zangu kwakweli inashangaza na kusikitisha, na patwa na kigugumizi kikubwa sana pale ambapo (continues stedents) wanapoambiwa kuwa wanahitajika kusaini ili wawekewe pesa zao. Swala la utata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
naomba kujuzwa haka ka elf tano ambacho kila mwaka UDOM wanakachukua kwa ajiri ya Usaili,ili hali Watu wana reg.No na ID ZAO.zikionyesha mpaka mwaka wa kumaliza Chuo. Napenda kujua kama ni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wangewafadhili wanafunzi wote wanaodahiliwa vyuon kwa 100% kwenye tution fees,accomodation na stationary thn kula ndio mtu ajigharamikie mwenyewe,nina uhakika hamna mzazi ambae angekubali mwanae...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba niseme mapema kuwa matokeo mabaya ya kidato cha nne ya mwaka 2010 yatajirudia tena mwaka huu wa 2011. Nasema haya kwa kuwa hakuna juhudi zozote zile toka Serikali kuu wala Serikali za Mitaa...
0 Reactions
5 Replies
10K Views
Wadau,leo nimeenda kumtembelea mdogo wangu wa 1st year pale hall 7{wa udsm mtakua mnapafahamu}sasa ktk kupga story,dogo akanionyesha marafiki zake kama wa tatu hvi ambao walikua wamedahiliwa hapa...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Nchi yetu katika sekta ya elimu migomo ikifanyika ndo serikali ama taasisi husika wanaunda tume,walimu waligoma,wanafunzi nao wangoma,je unadhani ipo njia mbadala ya kutatua matatizo na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Yapata miezi mitatu sasa tangu walimu tarajali wapate matokeo yao lakini cha kushangaza ni kwamba serikali imekuwa kimya kabisa kuhusu suala la ajira zao au ndo mambo kama ya bodi BUDGET EXHAUSTED ?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naona ajabu wakati mwingine hii nchi yetu. Ndiyo maana I swear I didn't like him 2005! I looked into his eyes and I knew the Presidency ni post kubwa sana kwake. Haikumfaa na bado haimfai! Ndiyo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Imekuwa ni tabia ya wazazi wengi kupima viwango vya shule kwa kuangalia matokeo ya mitihani ya mwisho au wengine kuangalia mtoto mmoja mmoja wanaokutana nao na basi kufikia uamuzi wa kuwahamishia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Matokeo ya mwaka jana yalizua gumzo,wanafunzi wa kidato cha 4 walifeli,unathani wa kwanza kulaumiwa awe nani,je wanafunzi,walimu,ama waliotunga mitihani,ama nani
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Huu mpango wa HESLB wa kutuma pesa za Wanafunzi Chuoni moja kwa moja,Chuo cha Makumira tumebaini usaanii mkubwa tuliochezewa na bodi.Raisi wa Chuo chetu Bw.Benard Adam alikuwa Bodi kwa muda wa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kwenye guide book ya TCU walionyesha ada ya hiki chuo ni milio mbili lakini hapa chuo ada inalipwa kwa rate ya USA dolar na michango mingine mingi kwa mwaka inazidi milion tatu hivi hii serekali...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom