Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
HABARI WAKUU, Nisiwachoshe Mdogo wangu kachaguliwa Kozi Inaitwa BASIC TECHNICIAN IN INSURANCE AND SOCIAL PROTECTION (BTCISP) Chuo Kipo Ilala MC Dsm (Certificate) Anaejua haya yanahusiana na nini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Nimechaguliwa kwenda chuo Cha ufundi Arusha (ATC), sasa nilikuwa naomba muongozo nini cha kufanya kwasababu nimeingia kwenye website yao siielewi. Napiga simu haipokelewi...
0 Reactions
2 Replies
727 Views
Habari. Naomba niulizie Vyuo vinavyotoa Course ya Ualimu Wa awali chekechea(Mkoani), hasa Iringa, Morogoro, Njombe, Ruvuma, Pwani. Naombeni msaada wakuu Kwa hili?
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Binti angu machaguo yote alijaza CBG chakushangaza amechaguliwa HGL kombi ambayo hakuchagua kabisa wala kuijaza sasa nini maana ya kujaza selfom?
4 Reactions
47 Replies
6K Views
Amechaguliwa kwenda chuo. Anasema hapana. Anatpenda aendelee na kidato cha tano kwa mchepuko wake uleule wa masomo ya sayansi. Wapi nigeukie ili nisaidiwe?
4 Reactions
67 Replies
6K Views
Napenda kuuliza: Elimu ya watu maalumu inatolewa chuo gan hapa Tanzania? Nauliza upande wa ngazi ya astashahada ya watu wenye ulemavu.
0 Reactions
2 Replies
531 Views
Wasalaam! Bila Shaka hamjambo katika jukwaa hili. Kwa wazazi wenye watoto wanaotaka kujiunga na kidato cha tano. Taasisi ya Kanisa tunatoa ufadhili bure kwa wanafunzi wote wenye Daraja la...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba msaada wenu. Shule gani inafaulisha vizuri comb ya PGM? Ya wavulana pekee
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Inasikitisha sana wakuu
0 Reactions
0 Replies
428 Views
Habari zenu waungwana! Leo 15/09/2020, katika kalenda ya NACTE ya 2020 ilikuwa kuanza kwa zoezi la vyuo kuweka matokeo kwenye mfumo wa data wa NACTE (Uploading Diploma Results to NACTE Database)...
2 Reactions
116 Replies
23K Views
Awali ya yote Nikiwa kama member Wa jf nawasalimu nyote, na nawasilisha mjadala kama ifuatavyo; Mimi ni muhitimu Wa form four na nimepata wastani Wa Division four ya 27 (4:27) ikiwa na alama...
1 Reactions
139 Replies
48K Views
Husika na kichwa cha uzi hapo juu, nataka kujua ni lini watatoa hizo selection, maana nimesikia watoto wanaanza masomo mwezi June.
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Nilimaliza kidato cha nne mwaka 2011 na matokeo yametoka nimefaulu kwa div 2 (combi zote zimebalance) ila nilijaza first choice Tech. College(D.I.T) Kuna wa2 wamekuwa wakinishauri kama...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Kuna watu tunafanya makosa kisha makosa yetu yanakua case study kwa wengine kosa langu lilikua nilipofika level ya degree nikaamua kusoma kozi moja hivi inaitwa Management of Social Development...
19 Reactions
136 Replies
21K Views
Habarini ndugu, Mdogo wangu alipata division 3 ya 21. CIV=C GEO=C BIO=C CHEM=C MATH=D HIST =D PHY=F KISW=B ENG=D kwenye machaguo alijaza comb ya CBG tu lkn amechaguliwa chuo coz ya ICT chuo cha...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Nakaribisha maswali kwa yeyoye anaetaka kufahamu Zaid kuhusu course karibuni #elimunikuwanataarifa
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Ivi inakuwaje kwa mfano usipofanya swali ambalo ni la lazima NECTA
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani mimi ni mwanafunzi wa Bachelor of International Relations and Diplomacy. Naomba kufahamishwa kazi gani naweza kuzifanya ninapoenda field; mfano nikienda Ubalozini, Wizarani, Uhamiaji au...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ninawasalimu wadau wote mliomu humu ndani. Wadau ninaomba kufahamishwa kuhusu chuo tajwa hapo juu maana kijana wangu amechaguliwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
UVCCM TAIFA MEI 8, 2022 HERI YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) unawatakia Kila la Heri Wanafunzi wote wa Kidato cha Sita katika Mtihani wao. M/Mungu...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom