Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Exuper Kachenje CHUO cha Ununuzi na Ugavi (IPS) cha jijini Dar es Salaam, kipo mbioni kutoa shahada katika fani hiyo. Hayo yalisemwa juzi na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo hicho, Dk Didas...
0 Reactions
1 Replies
10K Views
Nimekutana na hii kitu sehemu na nikaipenda kweli, it worth sharing with you guys...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
I am just told by a friend. It is wise to verify before rejecting it. Any educational material is valid only if proven applicably. Any body with such an experirnce? VERY IMPORTANT TO KNOW...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
I am sending this email to y ou because I know you are good in maths. Now tell me where is the remaining 1 shilling from this story? Three friends went to a hotel. The bill was Shs. 75/-...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Je wafahamu kuwa kuna mtanzania aliyeuwawa katika zile kambi maalum za kuwateketeza binadamu enzi za Hitler? Anaitwa, Bayume Mohamed Hussein. Bayume Mohamed Husen was born (Feb 22 1904) in...
0 Reactions
23 Replies
12K Views
Wandugu, nimejaribu kuangalia google lakini sioni hata tonye list ya shule ambazo ni kali kimichezo haswa katika mpira wa miguu na kikapu hapa nyumbani. Naombeni msaada wenu katika kujua shule...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
"Addressing the Sexual Vulnerability of Young Women in Africa " - July 18th - 30th 2010 The Africa Regional Sexuality Resource Centre (ARSRC) announces the seventh edition of its annual...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Matokeo ya Kidato cha nne 2009 Division I + II + III = 42,627 sawa na Asailimia 17.85 Divisheni IV = 130,651 sawa na Asilimia 54.66 Divisheni 0 ( Sifuri) = 65,708 sawa na Asilimia 27.49...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Hapo nyuma kidogo nilileta thread hapa jamvini juu ya ufisadi wa walimu wa shule za msingi na sekondari Dar es Salaam, hakuna aliyechangia lakini wachache waliisoma. Nawapongeza IPP media...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau wote waliomaliza Azania high school kidato cha sita mwaka 1997 mpo wapi?Tutafutane dunia imekuwa kama kijiji ili tubadilishane mawazo na mitazamo.Nawasilisha hoja na michango ya mawazo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
The 'Educated' SlaveKwaku Person-Lynn One of the most miscalculated assumptions is that when a person receives a college degree, whether undergraduate or graduate, that individual is now...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello JF, I need to know the Population figures for Tanzania in categories below 1. By end 2009 2. By end 2010 (Projected) I have tried to search in Natinal Bureau of statistics website but...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Watu wamekuwa wakitatizwa na matatizo ya kimaisha kama vile (kijamii i.e mapenzi, kikazi, kifamilia, kiuchumi na kisiasa). Almost kila mmoja wetu ameshapitia dhahma moja au nyingi kutokana na...
1 Reactions
0 Replies
5K Views
Hi wana JF Kutokana na baadhi ya watu kutokufahamu vizuri jinsi ya kuomba scholarship, Nimeona itakuwa vizuri kuweka baadhi ya procedure hapa vile vile anayetaka kusoma na kupata ufahamu zaidi...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Mnaweza kuutafakari vipi msemo ufuatao kama ulivyotundikwa katika website ya www.us.camfed.org "When you educate a girl in Africa, everything changes. She’ll be three times less likely to get...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wajameni, nafikiri huu ndo muda muafaka kuomba scholarship mbalimbali ili watu wasome mwaka huu au mwakani. humu JF najua kuwa wataalamu wengi sana wa kuona link za scholarship, tunaomba basi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Siku za karibuni tumeshuhudia matokeo mabovu katika ngazi mbalimbali za elimu, kidato cha nne, sita na kidato cha pili. Pia matokeo ya mtihani wa darasa la saba hayaridhishi. Pia tumeshuhudia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
MKOA wa Singida umepata mafanikio makubwa mno kwa upande wa ujenzi wa shule za sekondari za kata. Shule hizi ambazo wakati mwingine zinajulikana kwa jina la shule za wananchi, zimejengwa kwa kasi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Niliona vijana wakijitetea kwenye TBC1 kwa nini wanafeli mitihani ya form four Mbeya: Walimu wa kike wanafaa vimini darasani na kuwadistruct wanafunzi attention zao hata hawaelewi kitu Walimu wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh. Matokeo duni ya shule za Sekondari yanasababishwa na Serikali kutoshughulikia matatizo yanayochangia wanafunzi kufeli. Hayo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom