Naomben msaada wa taratibu za kufanya ili kurekebisha jina lililokosewa.
Yaan jina lililopo kwenye vyeti vyote ni tofauti na ilivyo kwenye Nida na cheti cha kuzaliwa. Majina yaliopo kwenye NIDA...
HABARINI za muda huu Wakuu, mimi ni kijana nimeenda age kidogo, kwasasa nipo chuo mwaka wa3. Nilikua natamani kujua kutengeneza animation since 2016 ila sikua na wakunisapoti nilielezea hili suala...
wakuu habari na Poleni na majukumu
Kuna ndugu yangu amemaliza accounting technician level 2 inayotolewa na NBAA anaulizia namna ya kupata membership namba msaada wenu wakuu
Mtu anayekuwa na digrii 3 au zaidi je anakuwanazo ktk fani tofauti? Na je ipi maana ya phd kwa kirefu? Na masters nini na ktk hao yupi yupo juu?
Nasubiri
Kusema ukweli form.5 &6 ni kupoteza muda. Ili kujenga kizazi chenye ujuzi ni bora serikali ikawekeza zaidi kwenye vyuo vya kati vinavyo toa certificate na diploma katika fani mbalimbali.
Mtoto...
Walasam Ndugu wana Jukwaa,
Naomba kufaham/Kuunganishwa na mtu alosoma Either BA Demography au MA Demography
Pia kama kuna mtu anaufaham juu ya Program hii naomba msaada tafadhali.
Nahitaji...
1. Kuna baadhi ya Shule za Sekondari, kunakuwa na mihimili miwili inayokaribia kulingana kwa utendaji kazi wake.
Katika shule hizo, kuna Walimu walioanzisha Hostel za kwao. Hao wanakuwa na...
Habari!
Special kwa wale ambao wamemaliza elimu ya chuo kikuu, wamepata vyeti, lakini havikuwasaidia chochote! Hasa hasa waliosomea visivyosomeka kama vile microbiology na anatomy, wakafungia...
Na Avatar mok
Wakati tukielekea kuuaga mwezi january na tabu zake zooote, ELIMU NI BAHARI.
Leo basi tupepese bongo mbali kidogo kwenye mambo magumu magumu niliyoyaweka ktk lugha bei chee yani...
Habari za kwenu wana jf naomba kupata darasa kutoka kwa vichwa makini na wenye ufahamu mpana zaidi kuhusu ishu za kuandaa , kuandika na jinsi ya kufikisha propaganda zako kwa lengo la kutimiza...
Habari wakuu,wadau ,viongozi na waheshima wote najua Jamii Forum ni kisima cha mafanikio na wengi wamefanikiwa sana kimawazo,kumbuka::: kila kitu Duniani huanza na wazo na vyote duniani tuvionavyo...
Habari walimu!!
Nimetafakari kwa kima kuhusu swala la ajira kwa upande wa sekta ya elimu, nimeona ni changamoto sana serikali kutimiza swala la ajira kwa wahitimu wa sekta ya elimu kutokana na...
Habarini jukwaa la Elimu na Wadau wote wa Elimu,
Naomba kufahamishwa na kwa Manufaa ya wengi hapa jukwaani pia. Mwanafunzi anaesoma Qt Mwaka wa kwanza ajikite sana kwenye kusoma vitabu na kama ni...
Hapa tutakuwa tunaangazia tasinia ya Madalali na Wasambaza Nyaraka wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Tanzania.
Tutaangazia sifa zao, upatikanaji wao,majukumu yao...
Habari wakuu.
Leo ningependa tushirikishane jambo moja muhimu hususani kwa wazazi na walezi hasa wanapofanya maamuzi juu ya uchaguzi wa shule ya kumpeleka mwanafunzi au mtoto kwajili ya kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.