Habari wakuu,
Samahani mie ni kijana mpambanaji mwenzenu Sasa kulingana na ukosefu wa ajira niliamua kwenda kunitafuta fursa upande mwingine nikaachana na kuisubiria ajira kwa kile nilichosomea...
Matokeo yangu ya kidato cha nne yalikua hivi
Bios: b,
Chem: c,
Geo: e,
Kisw: b
Hist: c,
Phy: f,
Math: f,
Civ: d
Eng: d
Plan yangu mimi ni kusoma masomo ya sayansi lakini kama unavyoona...
Nawasalimia ndugu zangu,
Napenda kufahamu njia rahisi ya ku-identify interaction effects, nina zaidi ya 20+ explanatory variables, nataka ni analyse hizo data niweze kujua interaction effects...
Habari za siku, nataka kujua vyuo vya afya vinavyotoa elimu ngazi ya degree (DOCTOR OF MEDICINE) vyenye ada nafuu ukiachana na 1. MUHAS, 2.UDSM, 3. UDOM, 4........., 5........... 6.........
Ikumbukwe kua Hotuba iliyo tolewa na Mh. Rais dkt John Magufuli pamoja na waziri wa elimu Prof. Joyce Ndalichako wamejipanga kutoa vipaumbele kwa sayansi lakini hii imekua kinyume na Tanzania...
Jamani mimi ni mwanafunzi niliye hitimu kidato cha nne mwaka jana bahati nzuri nikafaulu kwa grade 2.18 na Nimechaguliwa kidato cha Tano.
Lakin wakuu nilikuw napenda sana nisome PCB lakin physics...
Nataka nijue kama haitasumbua baadae kwa huyo mwanafunzi aliemaliza darasa la saba mwaka huu na anataka kuanza form one hiyo shule ambayo imesajiliwa kama open though wamesema wanapokea wanafunz wote
Mnafundisha watoto kuwa Dunia sasa kama kijiji wakati nyinyi mnaifanya Dunia kuwa kama poli lenye wanyama wakali.
Wekeni ada kwenye website zenu hii itaturahisishia wazazi kufanya machaguo...
Wadau naombeni msaada wenu.
Natafuta chuo kimojawapo cha nje ya nchi hasa nikipata cha kutoka ulaya itapendeza zaidi kwa ajili ya kusoma masters ya physical and occupational therapy ya elimu...
Habari ndugu zangu wana Jf,
Naombeni mwenye ufahamu kuhusu kozi ya microbiology na kpzi molecular biology and biotechnology anisaidie kunielezea baada ya kuhitimu wanafanya kazi gani hasa...
Tanzania Institute of Education huwa wanatoa vitabu mfano mwaka jana darasa la tatu walipatiwa vitabu lakini ikaja kuonekana publisher hakuweza kuchapa vitabu vingi hivyo shule za binafsi...
Habar wana JF.
Kutokana na Mambo kuwa mengi huku mda ukiwa mchache nimejiiuta nachelewa kutuma maombi katika chuo chochote cha VETA nchini hususani Kigoma au Chato(ni kipya kinaanza kutumika...
Wakuu habarini
Nimepoteza cheti cha form four na cha kuzaliwa
Nimeshindwa kufanya registration wakuu
Naomba mnipe mawazo, nina stress mpaka nahisi kufa.
Dirisha la usajili ndio hilo...
Kwanza niwaombe Moderators kuacha uzi huu hapa kwenye jukwaa la Siasa, japo kwa muda, kwa sababu uzi una Hoja ya Kisiasa ijapokuwa unahusiana na Elimu. Nitangulize shukurani kwenu Moderators...
Habari wapendwa.
Naulizia kusoma course za Masters nchini China za business, Je ukirudi hapa Tanzania ajira zake zipoje na kozi zipi hasa hasa za business zina soko?
Naomba mwongozo na ushauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.