Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Ni ukweli usiopingika kua. Wengi hupata shida katika kufanya maamuzi juu ya kuchagua course ya kusoma na vyuo vya kuomba. Zipo sababu nyingi ambazo unapaswa kuziangalia kabla yakuchagua chuo na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba kuuliza kuhusu selections za chuo cha afya Dodoma,DIHAS wanautaratibu gan katika kuachia selections zao?? Kama kuna mtu alipitia hapa naomba mawazo.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wale walomaliza kidato cha nne nasikiaga wanapangiwa vyuo hii imekaaje naomba maelekezo kwa anaefaham
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu, Naomba kuuliza kuwa je kunauwezekano wa mtu kubadilisha kozi akiwa chuoni hasa baada ya kuchaguliwa kozi ambayo hakuipa priority..je kitu hicho kinawezekana!!!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Application SUA nashidwa kupata reference number naomba msaada nikiwasiliana na chuo wapatikani
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Kijana wangu ameshindwa kuchaguliwa kujiunga na kidato cha tano wala chuo hivi second selection bado zipogo kweli waungwana?
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari za wakati huu wadau wa elimu..? Naomba kuuliza kuhusu hii course cha "CROP PRODUCTION AND MANAGEMENT" kutoka pale SUA maana nasikia ni course mpya.. So kama kuna aliyeanza kusoma hii kozi...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Natanguliza shukrani, Wakuu kwa pamoja Naomba tufahamishane kozi nzuri za kusoma chuo kikuu kwa mwanafunzi aliyesoma masomo ya sanaa(arts) Nikiwa namaanisha kwamba zile ambazo zimamuwezesha...
0 Reactions
55 Replies
54K Views
Habari, wana JF! Mimi Ni mdogo wenu niliyemaliza kidato Cha sita mwaka huu. Na matokeo ni kama ifuatavyo: Phy 'A' Chem 'B' Bio 'C' BAM 'B' Nimesha'apply' kwa MD vyuo vitatu mpaka sasa; MUHAS...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mbna hawanipi payment fee .. wanasema application pending
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Moja kati ya wajibu muhimu wa mwalimu wa shule ya msingi ni kuwafahamu wanafunzi wake ; kufahamu uwezo na udhaifu wao na kuwa na ufahamu fulani kuhusu historia ya makuzi yao ili kuweza kubuni...
0 Reactions
1 Replies
876 Views
Kutokana na ucheleweshwaji wa uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa na RITA, je bodi ya mkopo ya vyuo vikuu wataongeza mda au wale ambao wanasubiri kupata uhakiki wa vyeti wa fanyaje ikiwa deadline ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Naombeni msaada, Hii course nimeona kwenye TCU guide book kama moja ya health related program lakn sijaona chuo kinachotoa Hii course mwaka huu. Je, hii course inahusika na ninin kwa anayejua?
0 Reactions
8 Replies
9K Views
Ana three ya 16 (Physics -E, Chemistry- S, A/maths- E. Je anaweza pata chuo cha kusoma Bachelor Degree? Husika na mada tajwa hapo juu, nina mdogo wangu ana ufaulu tajwa hapo juu, je anaweza pata...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wana jf naomba msaada kwa anaefahamu chuo chaafya kwa ngazi ya cheti course CLINICAL OFFICER.Gharama za course hiyo pia nisaidieni ntashukuru sana sana
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Shikamoni wakubwa, polen na majukumu, Mim mdogo wenu nimemaliza form six mwaka huu, nilikua nasoma PCB, nimepata ufaulu wa div2 pts 10 yan D-CHEMESTRY,C-BIOLOGY na C-PHYSCS. Wakubwa zangu...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Alikuwa kachaguliwa kozi ya clinical medicine.Nilipowapigia simu waliniomba particulars zake,baada ya muda jina sikuliona tena nisaidieni wadau.
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Naombeni ushauri wenu nimefaulu vizuri PCM je, munanishauri nisomee nini? Na vipi kwenye ajira
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu.... nina Shemeji yangu amemaliza Darasa la 7 mwaka huu.... tunajaribu kumtafutia shule ya kusoma kidato cha Kwanza mwakani..... Naombeni msaada kwa mwenye ufahamu
0 Reactions
16 Replies
13K Views
Back
Top Bottom