Hakunaga ubaguzi mbaya kama ule wa kujaribu kufanya kitu tofauti kionekane sawa na vingine vilivyofanana. Ni ubaguzi mkubwa kwa kukifanya hiki Chuo cha Mzumbe kionekane sawa na vingine wakati...
Wakubwa heshima yenu napenda mwenye kuijua shule nzuri ya wasichana inayopatikana mikoa ya Iringa Mbeya Arusha na Kilimanjaro naomba anielekeze iwe ya michepuo yote.
Pia iwe Ina milikiwa na...
BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAOMBI YA UDAHILI WA MACHI 2020 (MARCH INTAKE) KWA WAOMBAJI WA ASTASHAHADA NA STASHAHADA
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ni...
tan (A+B+C)=(tanA+tanB+tanC-tanAtanBtanC)÷(1-tanBtanC-tanCtanA-tanAtanB)
If A,B and C are angles of a triangle,prove that tanA+tanB+tanC=tanAtanBtanC.
Mawazo yenu tafadhali
Nawasilisha.
Ninaomba kwa mwenye uelewa/ ufahamu wa kutosha kuhusu mitihani ya National Business Examination ( NABE).
1. Inasimamiwa na Wizara gani
2. Namna ya kujiunga
3. Qualifications zipi ninapata baada...
Mwenye ufaham naomba ushauri hapa :
Kusoma diploma ya accountancy: CBE au IFM ; Au diploma ya Taxation -ITA (institute of tax and administration)
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari JF,
Nina mdogo wangu alimaliza kidato cha sita akapata division 3.17 akakataa kwenda diploma akidai kuwa atajiendeleza hapo badaye.
Lakini anataka zile kozi fupi fupi kama miezi 6...
Habari wana JamiiForums,
Naomba mwenye notes soft copy ya TO2, elements of business mathematics and statistics zinazotolewa na NBAA anisaidie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa yeyote aliyewahi kusoma njombe sekondari naomba anisaidie maisha ya kila siku kama vile ;
Muda wa pola.
Muda wa kutoka darasani,
Je kuna remedial?,
Night prepo inaishia saa ngapi?, nk
Habari wana JF,
Nahitaji kupata matokeo ya kidato cha pili kuanzia mwaka 2000 hadi sasa lakini bahati mbaya NECTA hayaonekani, yapo tu ya miaka ya hivi karibuni.
Nahitaji kwa ajili ya...
A student studying in Russia says:
The highest score for most of the exams in Russia is 5.
If a student does not answer any question and returns back his exam paper blank, with no question...
Habari wakuu?
Ninanyenyekea mbele zenu bila bughudha nina shida ya mawasiliano ya VETA Hotel and Tourism Training Institute - VHTTI kwa ambaye anafahamu, na pia hata kama hauna mawasiliano naomba...
Naomba wanaJF mnisaidie cheti cha form six cha mtoto wa mjomba wangu kimekosewa jina. Kuna herufi imepungua mfano badala ya Omary Juma Daawir imeandikwa Omary Juma Al Daawi.
Kuna herufi zimezidi...
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limevifutia usajili vyuo 7 kikiwamo Time School of Journalism (TSJ), kwa kutokidhi vigezo vya kutoa mafunzo yanayoratibiwa na baraza hilo.
Mkurugenzi wa...
Kwa aliyekosa asubiri second Round ila ngoja niwape ushauri wadogo zangu na wakubwa zangu siku nyingine mupate.
Kwa sasa Uhitaji wa wanafunzi kusoma vyuo vya afya hasa vya serikali ni mkubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.