Hadi muda huu ninaongea,
kuna wanafunzi wengi sana wenye vigezo hawajapata vyuo.Wana one ,two na three. Mwezi Juni 2017 ,pale UDSM Mh.Rais aliagiza wanafunzi waombe vyuo kupitia chuo chenyewe na...
Ndugu mimi niliomba MD Bugando mwaka huu nikapata na nashukuru mungu na nyie wana jf kwa ushauri wenu. nimefuatilia sana ada ya pale nikajuanaweza ku topup ela itakayo baki kama nikipata mkopo was...
Wakuu msinicheke kuuliza si ujinga.
Sielewi tofauti za hivo vitu,je ni level gani kati ya hizo ipo juu zaidi?
Je inachukua mda gani kusomea doctorate,na je kuhusu Phd inakwaje?
Tafadhali wadau mm niliomba third round na kwenye multiple selection iliyotolewa na tcu Leo simo, na nikijaribu kuingia kwenye account zangu zote udsm na udom bado sijawekewa selection...
Hlw
Naomba msaada wa kujua jinsi ya kupata vyuo vya afya vya selikali, Diploma in nursing, dada yangu alimaliza form six mwaka jana na kupata divion three 15-CBG. Mwaka jana ameomba awamu mbili...
Wanafunzi wanaodisco vyuo vikuu ni wengi sana. Je, huu ni mpango wa kubakiza wachache ili bodi ya mikopo isitoe fedha nyingi mbona hali hii ni mbaya sana?
Nimepata kusikia hali ni mbya sana ni...
Wanabodi, nina ndugu yangu (wakike) kafeli somo moja katika mitihani yake ya mwisho wa semester, (ana supp). Sasa wakati huu wa likizo mwalimu wa hilo somo kamtafuta kwenye simu kaomba ngono ili...
Qualification :
Should be able to teach A- Level
Bachelor Degree holder and above in relevant field.
Should be able to communicate fluently in English (spoken & written)
You should be ready for...
Habarini,
Nina ndugu yangu amemaliza chuo mwaka Jana na kupata GPA ya 4.3/5..
Ndoto zake ni kusoma DEGREE YA DOCTOR OF MEDICINE (MD)
JE ANAWEZA KUFANIKIWA, MAANA GAIDBOOK LA TCU HAWAONYESHI...
Habari wanajukwaa naomba msaada wa mawazo nijue katika vyuo tajwa hapo juu kipi kipo vizuri kwa kozi ya INFORMATION TECHNOLOGY ngazi ya degree ushauri wenu muhimu kabla sijafanya uamuzi wa mwisho
Habarini za jioni,Leo kwenye account yangu ambayo nilitumia kuapply chuo kwa upande Wa Udsm wameandika hivi
STATUS : Successfully selected on : Bachelor of Arts with Education (UD012)
RESULTS...
Habari zenu wakuu
Kwa yeyote anayejua au mwenye ufahamu juu ya course hii Animal health and production basi achangie kwa kule anachokifahamu aidha iwe ni changamoto zake, inahusiana na nini n.k...
Baada ya kukamilika kwa maonyesho ya Vyuo Vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini, TCU, Kampuni ya Global Education Link, imetangaza kuanza kwa Wiki ya Udahili kwa vyo vya nje Maonyesho...
Kwa anaeifahamu course ya DIPLOMA IN HEALTH INFORMATION SCIENCES. kazi zake, Uwepo wa ajira, Salary ya mwajiriwa wa diploma au hata information yoyote kuhusu hio course naomba anisaidie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.